Haji Manara na Watu wako 'wanaokusapoti' unajua kuwa kama Mtangazaji wa Clouds FM Prisca Kishamba na CEO Barbara 'wakikushtaki' unaozea Jela?

Mzee upo busy tu na Manara,umekomaa kweli kweli!
Hujui kuwa GENTAMYCINE ndiyo Rais wa Msagia Watu Kunguni Tanzania nzima?

Na nilivyo na Nguvu kubwa ya Ushawishi, Kuaminika na Kukubalika nikikuanzishia tu lazima Watu watakuchukia.
 
Wenye Akili kubwa Kukuzidi tukiwa tunasema una matatizo makubwa katika Kichwa chako huenda kutokana na Changamoto za Kiasili ulizonazo uwe unatuelewa.

Jana 'Umeropoka' kadri uwezavyo baada ya Kutumwa na Waliokutuma kutoka Kariakoo na Mbagala na mwishoni ukasema kuwa unaomba upatiwe Ulinzi ukisema kuwa unatuhumiwa Kuhujumu huko ulikokuwa.

Hivyo basi nami GENTAMYCINE nakuuliza Haji Manara kati ya Shutuma zako zisizo na Ushahidi kwa Maadui zako na zile zako Kubwa Mbili za hivi karibuni ni nani unadhani ndiyo anatakiwa aseme anahitaji Ulinzi?

Kauli yako kwa Mtangazaji wa Clouds FM Prisca Kishamba ukimwambia kuwa Utamdhalilisha kwakuwa una Meseji zake nyingi ( tena ukimwambia mbele ya Waandishi wa Habari Wenzake ) unadhani Mtangazaji huyu akiamua 'Kukushtaki' kwa Makosa ya Kimtandao, Kumdhalilisha na Kumtishia leo hii utakuwa nasi Uraiani?

Kauli yako mbele ya Waandishi wa Habari ( na ambayo ipo katika Mitandao mbalimbali ) na mpaka katika 'inserts' za Redio nyingi ukimtishia CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez kuwa utamkomesha na kumuonyesha Wewe ni nani na jana tena katika Press Conference yake ukasema una Meseji zake nyingi unadhani Mwanadada huyu akiamua 'Kukushtaki' leo hii utaendelea Kufaidi huko 'Kutumikishwa' Kwako na hao Azam Media, ASAS na GSM?

Haji Manara unajiita 'Mtoto wa Mjini' hivi leo hii umesahau wale Watanzania ( Watu ) baadhi waliokuwa 'Wakitumika' Kuwachafua Wenzao nchini Tanzania ( hasa wa Maslahi ya Kisiasa ) na hata 'Kiumaarufu' mwisho wao uko wapi?

Labda nikuambie na tena nikutahadharishe tu kuwa hakuna Watu ambao Tanzania hii 'Wametumika' ama iwe Kisiasa, Kidemokrasia, Kijamii na Kiuchumi walibaki kuwa Salama na hata Kuyafurahia Maisha yao. Mifano juu ya hii ipo mingi tu najua hata Wewe unayo na unaijua pia.

Wanaokushauri na kukupa hicho Kiburi, Nyodo na Jeuri zote ulizonazo sasa huku wakikutuma kufanya ulichokifanya nakuhakikishia Haji Manara ndiyo hao hao muda si mrefu 'Watakugeuka' na kukuacha peke yako 'Ukitaabika' kwani hakuna Mwanaume anayeirudia 'Condom' aliyoitumia na Kumpa Utamu wa Tendo la Ndoa.

Unatumika kama 'Condom' ila hujui tu!!!
Mkuu unaushahidi kwamba anatumiwa na GSM, ASAS, na AZAM kuivuruga Simba??
Kuna uwezekano mkubwa na yeye ana ushahidi kutoka wa Barbar kumtishia kwamba atajuta so mtu akisema ana ushahidi kuhusu mambo fulani ukiona mlalamikiwa yuko kimya, tambua kuna ukweli.
 
The Almighty Lord God of Heaven doesn't protect 'Fools' like Haji Manara and all those who supports his 'Foolishness' against our blessed and lovely Club Simba Sports.
Unajidanganya,
God is the creator of all beings!
His name is I am that I am!
 
Wenye Akili kubwa Kukuzidi tukiwa tunasema una matatizo makubwa katika Kichwa chako huenda kutokana na Changamoto za Kiasili ulizonazo uwe unatuelewa.

Jana 'Umeropoka' kadri uwezavyo baada ya Kutumwa na Waliokutuma kutoka Kariakoo na Mbagala na mwishoni ukasema kuwa unaomba upatiwe Ulinzi ukisema kuwa unatuhumiwa Kuhujumu huko ulikokuwa.

Hivyo basi nami GENTAMYCINE nakuuliza Haji Manara kati ya Shutuma zako zisizo na Ushahidi kwa Maadui zako na zile zako Kubwa Mbili za hivi karibuni ni nani unadhani ndiyo anatakiwa aseme anahitaji Ulinzi?

Kauli yako kwa Mtangazaji wa Clouds FM Prisca Kishamba ukimwambia kuwa Utamdhalilisha kwakuwa una Meseji zake nyingi ( tena ukimwambia mbele ya Waandishi wa Habari Wenzake ) unadhani Mtangazaji huyu akiamua 'Kukushtaki' kwa Makosa ya Kimtandao, Kumdhalilisha na Kumtishia leo hii utakuwa nasi Uraiani?

Kauli yako mbele ya Waandishi wa Habari ( na ambayo ipo katika Mitandao mbalimbali ) na mpaka katika 'inserts' za Redio nyingi ukimtishia CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez kuwa utamkomesha na kumuonyesha Wewe ni nani na jana tena katika Press Conference yake ukasema una Meseji zake nyingi unadhani Mwanadada huyu akiamua 'Kukushtaki' leo hii utaendelea Kufaidi huko 'Kutumikishwa' Kwako na hao Azam Media, ASAS na GSM?

Haji Manara unajiita 'Mtoto wa Mjini' hivi leo hii umesahau wale Watanzania ( Watu ) baadhi waliokuwa 'Wakitumika' Kuwachafua Wenzao nchini Tanzania ( hasa wa Maslahi ya Kisiasa ) na hata 'Kiumaarufu' mwisho wao uko wapi?

Labda nikuambie na tena nikutahadharishe tu kuwa hakuna Watu ambao Tanzania hii 'Wametumika' ama iwe Kisiasa, Kidemokrasia, Kijamii na Kiuchumi walibaki kuwa Salama na hata Kuyafurahia Maisha yao. Mifano juu ya hii ipo mingi tu najua hata Wewe unayo na unaijua pia.

Wanaokushauri na kukupa hicho Kiburi, Nyodo na Jeuri zote ulizonazo sasa huku wakikutuma kufanya ulichokifanya nakuhakikishia Haji Manara ndiyo hao hao muda si mrefu 'Watakugeuka' na kukuacha peke yako 'Ukitaabika' kwani hakuna Mwanaume anayeirudia 'Condom' aliyoitumia na Kumpa Utamu wa Tendo la Ndoa.

Unatumika kama 'Condom' ila hujui tu!!!
Kuhusu hili la Haji Sunday Manara na yote aliyosema wakati wa Press Conference yake na waandishi wa habari hiyo tarehe 04/08/2021, ni hivi binafsi nadhani hakuna haja ya kumtukana, kujaribu kumdhalilisha, kumkejeli au hata kumsema kufuata na hali yake ya maumbile, ya huo Ualibinism wake; mimi nawafahamu watu wenye Ualibino wengi tu ambao ni makini kama alivyo Haji. Tuweke Ualibino wake pembeni kwani he is as human as you!

Sasa kuhusu hayo aliyosema Haji kwenye hiyo Press Conference; binafsi naamini hayo ni mawazo yake, ni mambo anayoyajua kuwa ni kweli na kuwa ni haki yake kuyasema ili "ASAFISHE HALI YA HEWA" kuhusu kuondoka kwake Simba SC kwani kila mmoja alikuwa anasema yake juu ya uondokaji wa Haji Sunday Manara huko SSC. Amesema yote kuhusu hiyo EXIT yake SSC, Amesema aliyoyasema, amesema aliowasema na ametoa nafasi kwa mwenye hoja kinzani ajitokeze hadharani na hapo ndipo "atatoa data na ushahidi wa yote aliyosema". Hivyo basi mwenye kuyapinga atoke hadharani, ili sasa sisi wa nje yaani third parties ndipo tuamue nani wa kumuunga mkono au kukubaliana nao - Haji au wale wengine aliwasema.

Mwisho niseme jambo moja - kuwa ni ukweli uliowazi kuwa wana Yanga wanaufurahia sana "mgogoro" huu ndani ya Simba SC! Mzee mwenzangu Sunday Manara, baba yake Haji kasema hilo waziwazi jana au juzi huko Dodoma; ila wana Yanga kaeni mkifahamu kuwa huu siyo "mgogoro" ndani ya SSC bali ni maji ya kuwasafisha NYUSO wana Simba na wengine wafahamu "ukweli" wa mambo ndani ya Klabu yao pendwa, wajue namna ya kushughulikia "migogoro" kama hii na wajue namna mambo yalivyo ndani ya Klabu yao ya SSC. Na mwisho wa siku mambo yatakuwa "bullu bullu" kama apendavyo kusema MO DEWJI!
 
Wenye Akili kubwa Kukuzidi tukiwa tunasema una matatizo makubwa katika Kichwa chako huenda kutokana na Changamoto za Kiasili ulizonazo uwe unatuelewa.

Jana 'Umeropoka' kadri uwezavyo baada ya Kutumwa na Waliokutuma kutoka Kariakoo na Mbagala na mwishoni ukasema kuwa unaomba upatiwe Ulinzi ukisema kuwa unatuhumiwa Kuhujumu huko ulikokuwa.

Hivyo basi nami GENTAMYCINE nakuuliza Haji Manara kati ya Shutuma zako zisizo na Ushahidi kwa Maadui zako na zile zako Kubwa Mbili za hivi karibuni ni nani unadhani ndiyo anatakiwa aseme anahitaji Ulinzi?

Kauli yako kwa Mtangazaji wa Clouds FM Prisca Kishamba ukimwambia kuwa Utamdhalilisha kwakuwa una Meseji zake nyingi ( tena ukimwambia mbele ya Waandishi wa Habari Wenzake ) unadhani Mtangazaji huyu akiamua 'Kukushtaki' kwa Makosa ya Kimtandao, Kumdhalilisha na Kumtishia leo hii utakuwa nasi Uraiani?

Kauli yako mbele ya Waandishi wa Habari ( na ambayo ipo katika Mitandao mbalimbali ) na mpaka katika 'inserts' za Redio nyingi ukimtishia CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez kuwa utamkomesha na kumuonyesha Wewe ni nani na jana tena katika Press Conference yake ukasema una Meseji zake nyingi unadhani Mwanadada huyu akiamua 'Kukushtaki' leo hii utaendelea Kufaidi huko 'Kutumikishwa' Kwako na hao Azam Media, ASAS na GSM?

Haji Manara unajiita 'Mtoto wa Mjini' hivi leo hii umesahau wale Watanzania ( Watu ) baadhi waliokuwa 'Wakitumika' Kuwachafua Wenzao nchini Tanzania ( hasa wa Maslahi ya Kisiasa ) na hata 'Kiumaarufu' mwisho wao uko wapi?

Labda nikuambie na tena nikutahadharishe tu kuwa hakuna Watu ambao Tanzania hii 'Wametumika' ama iwe Kisiasa, Kidemokrasia, Kijamii na Kiuchumi walibaki kuwa Salama na hata Kuyafurahia Maisha yao. Mifano juu ya hii ipo mingi tu najua hata Wewe unayo na unaijua pia.

Wanaokushauri na kukupa hicho Kiburi, Nyodo na Jeuri zote ulizonazo sasa huku wakikutuma kufanya ulichokifanya nakuhakikishia Haji Manara ndiyo hao hao muda si mrefu 'Watakugeuka' na kukuacha peke yako 'Ukitaabika' kwani hakuna Mwanaume anayeirudia 'Condom' aliyoitumia na Kumpa Utamu wa Tendo la Ndoa.

Unatumika kama 'Condom' ila hujui tu!!!
 
Jibuni hoja muache kutishana na sheria, Mo and Co mbona wamemdukua Manara. Mchezo mchafu hauna sheria..
Tatizo lililopo hapa ni kuwa kila mtu ana mtu wake anayemuamini sana hata akisema UONGO MWEUPE, yaani uongo ambao kila mtu anaona ni uongo, hawezi kukubali kuwa ni uongo! Kwa wapenzi na manazi swa Haji Manara, ni kuwa hata akisema jambo au neno ambalo SI KWELI, wao wataliona ni kweli. Juzi kasema, tena bila takwimu zozote ILA KELELE, kuwa Young Africans Sports Club (Yanga) ndiyo klabu yenye makombe mengi hapa nchini! Wanazi wake walimuamini na kuanza kusambaza "uongo"! Akaja mtu na takwimu na data kamilifu na kupangua "uongo" huo na kila mtu, including Haji Manara mwenyewe, wakanyamaza kimya on that. Hivyo basi, tusikilize taarifa, tuzichuze then tuziunge mkono au tuzikatae!
 
Back
Top Bottom