Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,374
- 40,420
Tumuache aruke ruke haina haja ya kumjibuTuassume kuwa yote aliyoyasema manara ni kweli hakuna, hata uongo mmoja bado yeye ndio mwenye matatizo......
nililala kwenye makochi_ asa tangu lini team zina safiri na wasemaji kwenda nje ya nchi? We wako wanahabari kaa nyumbani usubirie press.
Walimkataza Mond asinitaje_ Yes usitajwe kama mtu amelipa hela wimbo utengenezwe maanake kuna aina ya maudhui anayahitaji....., wimbo wa timu unatakiwa kudumu miaka na miaka, why tuanze kutaja msemaji wa timu ili iwaje?, msemaji wa team kimekuwa cheo kikubwa kiasi hicho?
Mo anachukia bakhresa atakuwa mkubwa kuliko yeye_Yes ni washindani sidhani hata kama bakhresa anapenda kuzidiwa na MO kawaida sana hii.
Hapati faida wakati team imejaa matangazo_ hayo matangazo si analipia kwani anatangaza bure? Mfano Kale kanembo ka MO extra tu kushoto kanalipa 250M hii ni nje ya ruzuku anazotoa.
Umeijenga brand ya simba_ Yes ahsante kwa hili, ila umesahau kuwa simba ndio imekujenga wewe zaidi kuliko ulivyoijenga.
Hujawahi pewa bonus wanapewa wachezaji tu_ Vipi, kuna viongozi wanapewa bonus, kama viongozi wanapewa bonus basi ulistahili.....
Tusaidiane kumjibu Manara.