Haji manara hawezi kumwacha shafii dauda salama.

Mishabiki ya shafii inakera sana, sasa mnajipendeleza kwa shafii ili iweje, yule hajawahi isema simba kwa wema, mwandishi sijui mtangazaji sijui mchambuzi uchwara wa soka, na ndo wanaoiua clouds na uchambuzi ushabiki ndala wao
 
  • Thanks
Reactions: ADK

Anayoyasema ni ya uongo?

Kuna kipindi Yanga nao waliwahi kumlalamikia Shafii kwa utaratibu huu huu wa kuwaambia ukweli wasiotaka usikike.
 
Anayoyasema ni ya uongo?

Kuna kipindi Yanga nao waliwahi kumlalamikia Shafii kwa utaratibu huu huu wa kuwaambia ukweli wasiotaka usikike.
Hizo ndo ngonjera unaleta hapa braza, shafii hana lolote analojua ni shabiki tu kama shabiki yeyote, haji manara analinda brand ya timu, so sioni wapi watareconsile
 
Hizo ndo ngonjera unaleta hapa braza, shafii hana lolote analojua ni shabiki tu kama shabiki yeyote, haji manara analinda brand ya timu, so sioni wapi watareconsile

Mimi ni mshabiki wa Simba, kulinda brand ni sahihi lakini siyo kumfanyia personal attack mtu anayekosoa, tena anayoyasema yakiwa sahihi kabisa.

Mfano kuna siku kiongozi wa Simba anamponda mtangazaji wa Clouds FM kwa sababu tu kasema Simba ni underdog kwenye kundi D la Champions League. Sasa hapo kulikuwa na shida gani?
 
Mimi najiuliza Yanga walienda kutafuta nn TAIFA viingilio vyao walivyolipia si bora wangeenda kuichangia timu yao jamani .... Unless walitaka kuja kutuona MABINGWA sisisi SIMBA SC
 
  • Thanks
Reactions: ADK
Back
Top Bottom