Haji Manara amuwakia vilivyo Shafii Dauda, amwambia asitafute ugomvi na wanasimba wote

hivi kesi ya RUSHWA dhidi ya SHAFII DAUDA aliyokumbana nayokumbana nayo kule Mwanza wakati wa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa TFF Iliishia wapi?
Hivi kashfa ya Haki Manara alipokuwa katibu wa CCm Dar,iliishia wapi? Jamaa alikuwa naomba magari kwa matajiri kwamba yanaenda kufanya kazi za chama kumbe yeye anayakodisha anakula pesa.Aliposhtukiwa akajiuzulu.Hapo Msimbazi vipi hapigi deal kwenye usajiri?
 
da433997a1a5cdb5d27012a3db3f2846.jpg
Msemaji wa Simba anautwika mtindi.
hahahahaaha
 
Nimesikiliza na kumfuatilia Haji. Haji ni Afisa Uhusiano mzuri sana Tatizo ni anakofanyia kazi yaani vilabu vya mpira. Angekuwa kampuni nyingine tu zisizo za michezo angefanya kazi vizuri sana.
 
Clouds inahusikaje hapa
kabisa, Haji badala ya kudeal na nidhamu ya wachezaji wake anadeal na Shafii, angalia timu inarud kutoka Zenj badala wachezaj waondoke na basi kwa pamoja wengine wanapanda boda bonda kila mtu kivyake, ni dhalau hiyo, ni sawa na timu ya taifa siku ile wanatoka kenya wanshuka airport TFF imeandaa basi waende wafikie hotel ndo kambi ivunjwe,lakini wachezaji wakaondoka kila mtu kivyake, hii ni nidhamu mbaya kabisa ya wachezaji wa Tanzania ,
 
Shafii mtu wa hovyoo sana anajidai anajua kuchambua mpira wkt janja janja tu sasa kumshambulia msemaji wa timu eti alijificha kivuli cha OMOG mara sijui awaambie wana simba ukweli ,mara manara OUT ...sasa timu ikifungwa alaumiwe haji msemaji wa timu?au walaumiwe wachezaji,kocha na bench lake la ufundi ....? ?
Shafii hayo mambo yako pelekaga ndondo cup...hivi kesi yako ya rushwa uliyoitoa Mwanza iliishia wapi.
Cc.
ShafiiDauda
 
Haji arekebishe kwanza nidhamu ya wachezaji simba ndo alalame kuhusu shafii, timu inazidi kuyumbam hivi ikikosa kuchukua ndoo ya VPL wanasimba wataweka wapi nyuso zao mbele ya uma.
 
Back
Top Bottom