fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,411
- 7,966
Gentanycine hebu andika makala ndefu sana juu ya jambo hili
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Gentanycine hebu andika makala ndefu sana juu ya jambo hili
Kama barnaba ndo kaandika hiki kijembe basi manara ana haki ya kumchanaHapo umbumbumbuni shida ipo yaani hakuna proffesionalism. Na Manara atambue kuwa msimamo wa Barbara ndo huo huo msimamo wa Muddy maana ni chombo yake ndo mana kaionga uCEO
View attachment 1862834
Tena bila mkataba anapiga deiwaka tuEeeh?? Haji analipwa laki 7 !!! ??
Sasa Hao Wanasimba Ndio wanaomlipa Mshahara Bwana HM?Mkuu umeona mbali sana.Ila Manara anasema CEO ndo ataondoka maana atawaambia wana SIMBA kila kitu.
Hiyo ni quote ya kocha Uchebe kipindi anaondoka. Japo ina ukweli, kwenye management uneducated hawawezi kutufikisha mbaliKama barnaba ndo kaandika hiki kijembe basi manara ana haki ya kumchana
namaste babuj, hii Ina maanisha Nini mzee?Haji amekaribia kuambiwa namaste babuj kwa muda ulotumikia club
Mwanza walipo viongozi wa Chadema.Unateseka ukiwa wapi mzee?
Manara analeta uswahili kwenye profession za watuKati ya Manara na Barbra nani boss? nmesikia Manara anatishia kumfukuza kazi boss wake
Manara chizi kweli. Toka Ile press kabla ya mechi ya tarehe 25 mi nikaona ana connection na upande wa pili na anatumia sana coded language. Ukimsikilizaga kama anaiongelea Simba lakini hua anawapaga ujumbe mahsusi tena kwa msisitizo utopolo, wapo wanaomuelewa na huwa wanafanyia kazi hasa. Kwa Simba ifike sehemu wafanye nae makubaliano ya pande mbili waachane kiustaarabu tuKati ya Manara na Barbra nani boss? nmesikia Manara anatishia kumfukuza kazi boss wake
Wacha uongo Simba Ni Mali halali ya Mohamed Dewji fullstopMashabiki hatujagawanyika hata kidogo ngoja baada ya 25/7/2021 pale lake Tanganyika ndo utajua Simba ni kampuni na sio Mali ya mtu binafsi kwa Sasa Simba inaendeshwa Kama real Madrid au Bayern Munich
Barbara anaupiga mwingi sana
GSM itakuja kuwa kampuni kubwa inayojihusisha na Football (ikisaidiana na AZAM).
Kama ilivyo Allianz, Chevrolet, Jeep, Adidas, Audi.
Toa hilo pimbi Haji.Hapo Barbara katolewa kama chambo kwa ajili ya kutengeneza sababu za kumtoa Manara hapo simba