Nne si nyingi. Bora laki saba na yupo huru kufanya kazi za kutangaza mpaka kina Suguye.
Si nyingi kwa kazi ipi mkuu?? Sidhani kama simba inashindwa kwenda bila kile cheo cha manara. Viongozi wake wameona hiyo inamtosha kwa cheo chake.
 
View attachment 1863466
Katika muendelezo wa msuguano kati ya Haji Manara na CEO wa simba Barbara Gonzaléz , imetolewa voice note nyingine ambapo Haji Manara amesikika akilia kuwa anaonewa na kufanyiwa dhuluma, Haji amesikika akiongea kwa sauti ya masononeko kuwa ana wasiwasi kwa visa anavyofanyiwa anaweza kuuwawa.
Nimemsikiliza mzee hans pope, kaongea kwa ufupi ila kaeleweka kabisa. Manara ni kimeo.
 
Kazi ya mpili imeanza kuonekana
tapatalk_1626938388372.jpeg
 
Watu waongo sn msemaji wa timu( HAJI) alipwe Million 20 kwa mwezi apewe kama mshahara wachene maskhara nyie watu.

Huyo C.E.O mwenyewe sijui kama analipwa hata MILLION 10 inafika na ELIMU YK yote hiyo .
Marekebisho kidogo ni m4
 
Acha uongo. Angepewa offer ya namna hiyo asingelalamika kuhusu laki saba. Halafu Mhindi amlipe M20?.Acha uongo.

Ingia youtube msikilize hanspope manara alipewa asaini mkataba awe anakula milion 4 kwa mwezi pia kuna kifungu kinachomkataza asijihusishe kutangaza kampuni nyingne tofauti na waajiri wake SSC alikataa akakubali wa 700k ili afanye biashara na kina Asas, GSM na azam tv
 
View attachment 1863466
Katika muendelezo wa msuguano kati ya Haji Manara na CEO wa simba Barbara Gonzaléz , imetolewa voice note nyingine ambapo Haji Manara amesikika akilia kuwa anaonewa na kufanyiwa dhuluma, Haji amesikika akiongea kwa sauti ya masononeko kuwa ana wasiwasi kwa visa anavyofanyiwa anaweza kuuwawa.
Watu wakitishia Maisha yako utachekelea
 
Back
Top Bottom