Hivi huyu manara atakuwa hana Meseji za C.E.O Barbara kweli mbona za yule mtangazaji Kishamba alitishia kuzitoa , aache utoto kulialia hadi anavuta kamasi na kupengea mdomoni.
 

Ingia youtube msikilize hanspope manara alipewa asaini mkataba awe anakula milion 4 kwa mwezi pia kuna kifungu kinachomkataza asijihusishe kutangaza kampuni nyingne tofauti na waajiri wake SSC alikataa akakubali wa 700k ili afanye biashara na kina Asas, GSM na azam tv
 
Kama aliweza kufanya hivi kwa kiongozi wa simba sc atashindwa kufanya dhidi ya karia huyu ni tabia yake kujiona yeye ndio mtu mwenye nguvu kwenye soka letu.


 
Back
Top Bottom