Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Ukweli usemwe Manara hapendi Simba isemwe kabisa maana alisha gombana na Shafiii na alishagombana na EFM kisa Simba imesemwa vibaya!

Lakini lazima tukubali muda mwingine watangazaji wetu wanakosa umahiri kwenye taaluma hasa ya habari ni karibu radio zote!

Sijaona kosa la Kitenge kuleta tetesi kuhusu Morrison na ndio maisha ya soka letu kila leo sio jambo la kushangaza lakini ni wazi Manara amekuwa akivuka mipaka as if Radio zinapaswa kuwapigia magoti simba kuwaomba habari kabla hawazitoa...

Manara ana ugonjwa mkubwa wa kupenda kuonewa huruma na jamii!

Lakini hili la hirizi kama ni la kweli au uongo halikupaswa kuja public tena kupitia manara....

Siwezi kushangazwa na mtanzania kukutwa na hirizi(bima ya afya)
Mbona kitenge kamsema vibaya manara hilo hamulioni au
 
Pelekeni ujinga wenu huko na huyo kiazi mwenzenu.
Mwanaume hatishii yeye anapasuka tu, mara tunajua mambo yako mbona hamyasemi kama na nyinyi sio waathitika wa hayo manayoita siri?

Naona unanipandishia sauti na hata hujui mantiki yangu ipo wapi binafsi mimi sio shabiki wa football na comment yangu hai husiani kabisa na hayo hebu soma vizuri ulichokiandika mwanzo alafu rudia mala tano tano kusoma nilicho nilichokujibu
 
Unaposema mk ni mtamu wakati we ni mtoaji .umejuaje ..kama sio kuleta ushabiki wa kipuuzi kushabikia ..usodoma....

Binamu hapa ninapokwambia ndoa za watu zipo hatarin kwa ajil ya mk wa warumi , halafu Kwan mtu akiwa ana enjoy show hujui, c mnatetemekaga kama mmepata shot ya umeme wa mgao mxieew, maneno yanawaropoka utadhan mnajifunza kuongea
 
Binamu hapa ninapokwambia ndoa za watu zipo hatarin kwa ajil ya mk wa warumi , halafu Kwan mtu akiwa ana enjoy show hujui, c mnatetemekaga kama mmepata shot ya umeme wa mgao mxieew, maneno yanawaropoka utadhan mnajifunza kuongea
... Kuendelea kusifia aina hii ya starehe haramu ni kuharibu kizazi ambacho ndo Taifa la kesho ....Nashauri Tubaki africa ...huu Umagharibi ...una negative impacts nyingi sana
 
... Kuendelea kusifia aina hii ya starehe haramu ni kuharibu kizazi ambacho ndo Taifa la kesho ....Nashauri Tubaki africa ...huu Umagharibi ...una negative impacts nyingi sana

Tusisingizie wazungu Jaman , haya mambo yapo toka sodoma na Gomorrah binamu, we mwenyew nikikuonjesha kutwa utakua unanisumbua DM, nyie mnasemag tu waulizen wanaume wenzenu marijal wanaojua utam wa mk wakisimulia vzr

Karibu mjini
 
View attachment 1719211

Huu umbea wa Balgeen Abdul na sakata la hirizi hapa Manara ndo kanidindisha masikio, masikio yamesimama utafikiri zile kofia za Mama Rwakatare, ila kaniudhi mxieew badala yakutupatia umbea full anatupatia nusu nusu, ananipa assignment nzito wakati Warumi mie siku hizi nimeokoka
Huyu Maulid enzi za nyuzi za first class and the former first family tushamjadili sana.
 
Back
Top Bottom