Haji Manara akamatwa, ahojiwa tukio la kutekwa Mo Dewji

Simba ni familia ya MO na Manara kama msemaji wa Simba ana haki ya kuisemea familia yake wamepokeaje kutekwa kwa mwanafamilia mwenzao.
 
Hawa waovu wakishafanya yao wanataka watu wakae kimya as if nothing happened. Watu kuongelea kutekwa kwa Mo kunawazuia vipi wao kufanya uchunguzi kama sio maigizo wanatuletea.
 
Noma hiyo...
IMG-20181012-WA0064.jpeg
 
Kiherehere Chake huyo Kwa Masikio yangu na macho yangu nimemuona na kumsikia kwenye Mahojiano na ITV jana Akitamka kuwa yeye ni Msemaji wa Familia ya Mlezi wao na Mwekezaji wao Bwana Mohammed Dewj Mo.
Matatizo mengine ni ya Kujitafutia tu huyu Jamaa naamini ni Mlemavu wa vitu viwili Ngozi na Mtindio wa Ubongo Waache kwanza WAMSUKUMIZILIE NDANI
Hata kama kadanganya kuwa yeye ni msemaji wa familia bado haimfanyi kuwa ni suspect. Polisi wafanye kazi yao na sio kukamata watu hovyo hovyo tu.
 
Back
Top Bottom