Haji ghetto mpaka st.anna na kiti moto nusu kilo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haji ghetto mpaka st.anna na kiti moto nusu kilo.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kottler Masoko, Apr 11, 2012.

 1. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  MAMBO VIPI WADAU!!

  Ndugu yenu nipo ktk michakato ya kutafuta Permanent GF,maana nimechoka kuchakachua na umri nao unasogea kwa kasi ya kimondo.
  Nimefanikiwa kupata Kibinti Kimoja toka Kaskazini mwa Tanzania ( Chembamba,rangi ya Chocolate, Macho makubwa meupe pee,karefu ila me ni mrefu zaidi yake,kana nywele black ndefu nzurii, sema meno yake ni ya Gold) anasoma Chuo Kimoja katikati ya Jiji hapa, kwa kweli kazuri na katamuu..
  Ila kuna tatizo moja linanikera mno, ni SIKU akiwa anakuja home kwangu ni mpaka masharti kibao yakiwemo,anakuja kwa muda anataka yeye,lazima ununue chupa 2 za st.Anna na nusu kilo ya kiti moto,na zawadi yoyote (kama ni perfume au underwear basi ziwe za ukweli vinginevyo atakususia) so hata cjinafasi nae vile me nataka mazee mpaka nahisi kama naibiwa kimtindo flani hivi...
  HIYA C MATATIZO JAMANI!!!

  Angalizo:
  Please kama una matusi, madongo na maneno machafu bora usicomment,this is for men who real feel the pretty women(suffer like me) and and women who real like to be treated like pure queens...NI hayo tu.
   
 2. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Bado hajakupenda kwa dhati, anataka zawadi tu huyo,
  Mkalishe uongeee nae malengo yako juu yake labda ataelewa
  La sivyo mbeleni naona giza tu
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Una miaka mingapi? Nataka kuchangia kulingana na umri wako!
   
 4. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  maybe ulianza nae hivyo from the first day, women wanatabia ya kuzoea, muonyeshe msimamo wako, mwambie kuwa hiyo tabia huipendi, kama nankupenda she will listen if not, then utajua ukweli
  note: wanawake hupima misimamo na kama huna atakudrive...........
   
 5. juma sal

  juma sal Senior Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sasa unauliza nn hapo?........kwanza ushanichefua kitimoto kharam kabisa na ukome kukitaja jamvini
   
 6. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Starehe Garama
  wewe ulitaka ule burebure
  akija kwako bila kunukia si utamtimua
   
 7. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  We unanishangaza kweli chalii wangu! Unataka pamanent GF? ndo mdudu gani huyo? ungesema unataka wife ningekuelewa. GF hawezi kuwa pamanent coz ni rafiki tu. Muda wowote anaweza akachomoka, kama hao wengine walivyochomoka. Kosa lingine wewe unaingia kwa mademu kwa gia ya pesa chalii wangu, yan watakukoboa ubakie chenga. Kama hujui wanawake ni kama sime kaka, wanakata kote kote. Ukijileta kama unazo basi kwa matumizi ndiyo wenyewe, ukijileta kama wa kawaida ataishi kikawaida kulingana na mfuko wako, hata ukikubalika na senti huna unaweza kuwa unapewa mafungu. Huyu ndiyo mwanamke. Anaishi kwenye hali zote bana kulingana na ujinga wako au werevu wako!
  Pili, kwa maelezo uliyoyatoa, huyo demu hakupendi tena ana jamaa wake na akiwa free na hamu ya kugonga hiyo noah na wine ndo anakutafuta, na anahakikisha hajala bure na perfume unatoa. Yan wewe chalii wangu, kwani wewe hushtukii unachezewa kama ATM ya NMB? Sasa wewe jaribu kumwambia siku moja, nimekuandalia NOAH, wine na marashi halafu usinunue hata kitu kimoja, uone kama hata denda utapewa!!!!!! Utasukumwa kama kanumba (akukanumbe) oooh! sasa hapo ndo utajua huna lako, na hiyo dhana ya pamanent GF utaitoa kichwani, uweke ya pamanent wife.
   
 8. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wacha akutumbue kwani mzigo siana kupa.Angekuwa hakupi yangekuwa mambo mengine.Komaa naye tu ndo wengi wao wa kaskazini wa livyo labda anajua unamchezea tu ndo maana ukimtosa asiumie awe na kitu chakujisifia.
   
 9. 2hery

  2hery JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,538
  Likes Received: 2,059
  Trophy Points: 280
  binti huyoo anaolewa...................
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Jf is never boring
  (Source: The Boss).
   
 11. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kaa nacho mbali kataku-kanumba!
   
 12. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Mkuu umeshapost thread yangu aisee! Umeni pre-empty kabisa, lol!
   
 13. samito

  samito JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sasa unataka tukusaidie mawazo au TUKUCHANGIE hela ya kitimoto na st.Anna.? acha ulelemama kama unatafuta muke
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  ulimwambia unataka awe permanent gf? Hizo ndo characteristics za girlfriends kaka, ungetaka mke angebehave kama mke.
   
 15. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ahahaha, kiongozi nitaku-pm umi wangu ila nimeshavuka 25 kitamboo.
   
 16. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nashukuru mkuu kwa maneno yako mazuri na yaliyojaaa hekima and I will work on.
   
 17. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nisamehe bure ustaadh, tumlani shetani!!
   
 18. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kWA KWELI MKUU UMEONGEZA SIKU ZANGU ZA KUISHI, NITAFANYIA KAZI USHAURI KIONGOZI.
   
 19. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  your welcome!
   
 20. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  kama una uwezo wa kufanya hivyo kwann ulalamike?kiukweli hapo huna mtu just someone looking for alternative means...tafuta ambaye hata mkila ugali kwa mnafu anaridhika...
   
Loading...