Hajazaliwa,Hajakulia,Hajasoma na Hajaishi Arumeru

Hii inamaanisha halijui hata jimbo analogombea,kwanza aliliita mkoa,pili akaja akaliita Arumeru Magharibi na kumbe ni Mashariki.Amezaliwa na kusoma Kenya,LLB kasoma uingereza na anaishi Mbezi,anatufaa kweli huyu?
Mbaya zaidi hata jina lake halipo katika daftari la kudumu la mpiga kura,alijiandikishia Mbezi...
Ni uendawazimu kumpigia kura mtu ambaye hata yeye hata jipigia kura.
Kama uloyasema yana ukweli basi hakika nchi yetu imefilisika sii tu kiuchumi basi hata kufikiri..
 
Ingekuwa watu wote wanaakili finyu kama wewe lema asingekuwa mbunge wa Arusha . Maana sio mwarusha wala hajasoma arusha na kuzaliwa arusha . Tumia akili sio unatumia kinyesi kufikiri . Siasa za kikabila peleka kwenu.
 
Hii inamaanisha halijui hata jimbo analogombea,kwanza aliliita mkoa,pili akaja akaliita Arumeru Magharibi na kumbe ni Mashariki.Amezaliwa na kusoma Kenya,LLB kasoma uingereza na anaishi Mbezi,anatufaa kweli huyu?
Mbaya zaidi hata jina lake halipo katika daftari la kudumu la mpiga kura,alijiandikishia Mbezi...
Ni uendawazimu kumpigia kura mtu ambaye hata yeye hata jipigia kura.
Hata sijui mnamuongelea nani?
 
john mnyika, sugu na halima mdee nao wana wasifu huo ktk majimbo yao

kama kawa wababaishaji mgombea wenu hajui jimbo lipo kushoto au kulia du hiyo nayo yamuonyesha jinsi mlivyo empty maana halisi wababaishaji watupu.vp mlisoma shule gani nyie magamba?wasio wa elimu zenu taabu tupu,hata watawala wenyewe mhh vimeo
 
wana jf kwa nn wanawake ndo wanapenda sana ccm? Mie bado cjajua kuna nn kat ya wanawake na ccm!
 
Radhia, nilikupenda sana ila sikujua kwamba una magamba mwilini mwako

Usimlaumu sana Radio, ilaumu BBC AFRICA RADIO 4. Ndiyo radio anayosikiliza siku hizi and according to her inapatikana huko West Africa.
 
Wako wengi sana wabunge wa namna hiyo. Mh Vita Kawawa naye hajazaliwa, hajakulia,hajasoma na wala hajaishi Namtumbo.

ni ujinga wa watanzania wa kushobokea majitu yanayoishi mijini. Unakuta jitu hata nyumba za bibi zake halijui zilikuwa wapi,achilia mbali kuonekana mara ya mwisho akiwa anatambaa aafu anataka kuwa mwakilishi wa kuwasemea matatizo yenu na nyie mnadanganyika. Mwisho wa siku mnabaki nyie na vumbi,matope, maji hakuna na umaskini wa kuendelea kusubiri uchaguzi ndo mvae nguo mpya. Ndo maana tuntemeke wananchi wake walikuwa wanampenda. Most of his time alikuwa jimboni kwake. Kuna majitu(wabunge) yalinishangaza kwenye mazishi yake, eti walikuwa wanajiuliza kwanini jamaa kajenga nyumba nzuri kwao na asingejenga njombe au mbeya. Kumbe mwenzao alitumia ile nyumbe kuonesha kwamba makete nako kuna nyumba zinazohitaji umeme na ukaja. Tusipobadilika tutaendelea kuwa watu wa kuogopa majina ya watu na kuendelea kuwapa nafasi ya kututumikisha badala ya kututumikia.
 
sugu kasoma mbeya day, kakulia sai mpaka leo nyumbani kwao kuna kituo cha dala dala kinaitwa kwa mbilinyi.
 
Nimekubali kauli ya LEMA kuwa mgombea wao hana hata matumaini we kama umeangalia taarifa ya saa 2 usiku hata wale ambao ni vijana wa ccm ni watu wasio na mvuto kabisa wanasema

eti mchague ccm imewaletea uhuru......
eti imewafanya kuwa binadamu..... swali langu hatukuwa binadamu watu wa arumeru ... hilo nalo tusi jingine kwetu arumeru
eti ni chama cha amani wakati tumeshudia wahiaji arusha wakilindwa na masikini wakiuawa na kusingiziwa kesi zaidi ya yote ARUMERU MASHARIKI WATU WENGI WANAPIGWA RISASI NA MAASKARI WA Arusha national park na hakuna hatua wanazochukuliwa

muda wa ccm umekwisha kabisa ......... tegemeo lao ndo hao vijana + wasira
 
Nadhani maneno haya yanatakiwa yawekwe vichwani mwa wana Arumeru kila mkutano wa kampeni za chadema ili wajue na waamue wenyewe kwa kutumia busara zao. chadema yaweza kuona hiki ni kitu kidogo lakini ni kikubwa sana kama wan Arumeru wataelewa mantiki yake.
 
Hawa magamba wanachongoja ni kuchakachua tu matokeo ,hao raia tutawalaumu bure tu,

My friend safari hii goti litapigwa kwa utukufu wa Mungu kwa yule mwovu na hira zimefungwa,atakae jaribu asije akajuta aidha kuwa kipofu,ama kuwa kilema ama kuwa mwendawazima kwani haki na dhuluma ndiyo kwanza vinapigana kwa mara ya mwisho katika Arumeru Mashariki.
 
Ingekuwa watu wote wanaakili finyu kama wewe lema asingekuwa mbunge wa Arusha . Maana sio mwarusha wala hajasoma arusha na kuzaliwa arusha . Tumia akili sio unatumia kinyesi kufikiri . Siasa za kikabila peleka kwenu.

Kichwa maji wewe,Lema tumesoma nae Arusha,acha kukurupuka.
 
Lau - hakuzaliwa Mwanza

January - hakuzaliwa Lushoto

Batilda Buriani - hakuzaliwa Arusha

Kwahiyo hakuna tatizo; ni kuwa tayari na kujiandaa ipasavyo sio kuacha mpaka too late; Angalia John Malecele wa New York amerudi Bongo Miezi Miwili ili ashughulikie mipango yake ya kugombea Ubunge; Ana Muda Mrefu Miaka Miwili

Ni vizuri kuwa Makini
 
Back
Top Bottom