Hajawahi kuwa na mpenzi, anayachukia mapenzi, hayuko tayari kuwa katika mahusiano

Afrodenz una akili kama serikali. Huyo mdada hajamzimikia saana jamaa. Na inavyoonekana jamaa kama analazimisha hivi kwa mtazamo wangu. Demu sidhani kama ni wa kawaida.

ni kweli siyo wa kawaida, hata watu waliosoma naye wanathibitisha hilo, nadhan nina kazi ya ziada ya kumbadilisha
 
ni kweli siyo wa kawaida, hata watu waliosoma naye wanathibitisha hilo, nadhan nina kazi ya ziada ya kumbadilisha

kwenye blue
hata usije kujaribu ..
huwezi kumbadilisha mtu my dear ..

kama hataki kubadilika mwenyewe
kweli usijihangaishe..
 
angalia utakuja lia siku moja, coz issue kama hii iliwahi mtokea jirani yangu, huyu dada hakupendi ila kuna ki2 unachomzidi, yaani anakuwa na mashaka kwamba endapo akikata mawasiliano na ww atakikosa. Bt wasichana wa aina hii akishapata alichokitumaini mfn hyo ELIMU+KAZI atakuchinjia baharini coz hakukupenda toka mwanzo. Ni mchango wangu tu
 
angalia utakuja lia siku moja, coz issue kama hii iliwahi mtokea jirani yangu, huyu dada hakupendi ila kuna ki2 unachomzidi,
yaani anakuwa na mashaka kwamba endapo akikata mawasiliano na ww atakikosa. Bt wasichana wa aina hii akishapata alichokitumaini mfn hyo ELIMU+KAZI atakuchinjia baharini coz hakukupenda toka mwanzo. Ni mchango wangu tu

Wiseboy kula kumi, demu kwa kuwa dent anapenda vizawadi na hiyo care ya jamaa. Akimaliza shule akapata kazi lazima amtose jamaa. Jamaa kama anatakiwa kuwa makini, kuna masharti lakini hilo la kupata kazi kwanza mhh..kumaliza shule sawa.
 
angalia utakuja lia siku moja, coz issue kama hii iliwahi mtokea jirani yangu, huyu dada hakupendi ila kuna ki2 unachomzidi, yaani anakuwa na mashaka kwamba endapo akikata mawasiliano na ww atakikosa. Bt wasichana wa aina hii akishapata alichokitumaini mfn hyo ELIMU+KAZI atakuchinjia baharini coz hakukupenda toka mwanzo. Ni mchango wangu tu

mh kazi ipo
 
Huyu ni msichana ambaye nilianza kumfatilia toka mwaka 2009 mwanzoni. Mwanzo aliniambia anihitaji, nilipojitahidi kumbembeleza aliniambi kwamba hakuna kitu anakichukia kama mapenzi japo hakunipa sababu zake. Muda ulienda na nilijitahidi kuweka ukaribu naye, huku nikiendelea kumuaminisha kwamba nampenda. Siku zilienda mbele na katika hali ya kutaka kunirudisha nyuma, akaniambia kwamba "ana mtu", kitu ambacho hakikuwepo lakini yeye alisisitiza hivyo. Ulipita muda bila kuwasiliana naye{alikuwa shuleni}, baada ya kumaliza form 6 mwaka huu alinitafuta, na tukaanza kuwasiliana tena. Lakini kila nilipoongelea suala la mapenzi, aligeuka mbogo japo alianza kuhitaji kujua habari zangu. Kuna siku baada ya kumshawishi sana alijibu " I dont luv 2 be urs", sms hiyo ilinifanya nimchunie, lakini baada ya wiki 2 aliniuliza "mbona kimya", nilimjibu kwamba "napenda sana kuwa karibu na wewe ila siwezi kuendelea kujiumiza", hapo naye akakaa kimya. Usiku wa kuamkia leo nimeongea naye kwa kina kama masaa 3, ndipo akanithibitishia kwamba hajawahi kuwa na mpenzi na wala hafikirii, nikamuuliza plan zake, akasema nimwambie kwanza za kwangu, nilimweleza ndipo naye akanambia kwamba ataingia kwenye mahusiano pale tu atakapokuwa na elimu+kazi yake. Alisisitiza sana niheshimu malengo yake. Kwa kifupi tumeelewana lakini hatujakubaliana. Nipo njia panda, je anaweza kuwa wangu na kunipenda?, na nahitaji ushauri wenu jinsi ya kumtoa katika hofu alizonazo.

Ukisoma hizo REDS utaona jinsi alivyokudharau.
Asikudanganye mtu kwamba eti wanawake wanasubili kupendwa tu.
Mimi nimeshawahi kukutana na situation kama yako, na mwisho wa safari ilikuwa ni kupewa card ya mchango wa harusi yake.
Yaani majibu yake yana maana kwamba UPO RIZEVU LIST tena wa mwisho.
2yrs ni muda mrefu sana kwa mwanamke anayekupenda au mwenye hisia za mapenzi za kweli kwako ashindwe kuthibitisha upendo wa kweli kutoka moyoni mwake.
 
Jiulize, kwanini kila ukimuuliza kuhusu mapenzi majibu yanakuwa mengi??? Mara nina mtu, mara subili nimalize kusoma, mara anachukia mapenzi, mara i dont love to be yours, mara hafikirii kuingia ktk mapenzi???????? She sounds weird!!!!!
Hata hiyo kusubili amalize kusoma apate kazi ni sababu ya kuiga tu, maana ukiangalia mtiririko wa majibu yake inaonyesha hilo jibu ameazima tu.

Mkuu, onyesha kwamba wewe ni mwanaume.
Usijidanganye kwamba ukimbembeleza ndo utampata kiurahisi
Wanawake hata wasome vipi, bado wanapenda sana wanaume wenye misimamo imara na wasiobabaishwa ktk mambo yao na ambao wataongoza safari ya maisha ya mwanamke ktk mahusiano. Na wanajua wanaume hao ndio watakaokuja kujenga familia imara ktk ndoa.
 
mhm??? Hajawai, inavyooneka uyo msichana akuamini japo anakupenda, nakupa rule number one mkumbuke anapokukumbuka, usiwe mwepesi wa kujibu mesegi zake, rule number two mawasiliano yawe kwenye simu akikupotezea mpotezee,
 
nakubaliana na wewe, iman yake kwangu ndogo, kwani amewah uliza kwan huku chuo nimekosa kabisa msichana?
 
Binafsi nimemfurahia huyo binti, mwanzoni nilidhani aliwahi kuwa na mahusiano na mwanamume kisha akatendwa ndo maana alichukia mapenzi kumbe ni malengo yake tu ndo yanamfanya asijiingize kwenye huo mwenendo.

Mkuu jiulize kwanini unampenda huyo binti na mwisho wake utakuwa ni nini, kama unampenda kutoka moyoni basi utaweza kumuelewa na kumheshimu yeye na maamuzi yake. Unaweza kumvumilia kama unalenga kuishi naye kama mama watoto wako na hivyo lazima usikilize na uheshimu maamuzi yake. Kama unampenda kwa ajili ya kummega tu kisha umteme baada ya kufanya USED, basi hufai na hiyo tamaa yako ya zinaa.
 
nina lengo la kumuoa na si vinginevyo, nampenda kutoka moyoni.
 
huyo ni wako ila usiende kasi, ni msichana/mwanamke muelewa na anayejitambua, anamalengo kamili, anakupenda na wewe ukiwa mvumilivu mwishowe atakuwa wako, bali ni vizuri usifanye kosa ama jambo litakalo muonyesha kuwa wewe si muaminifu ktk masuala ya mapenzi, ANAKUCHUNGUZA ,ANAHITAJI KUPATA MWANAUME MKWELI NA AMBAYE ATAKUWA WAKE TU. kisha ondoa tamaa ya mwili yako juu yake litakuvurugias, KUKU WA KWAKO MANATI YA NINI........?
A%20S%20465.gif
nimeipenda hiyo
 
oyaa, komaa ule mzigo, akienda chuo unadhani atapona na malecture wetu wa kibongo walivyo viwembe...nadhani uko chuo huwa unasoma mchezo unavyoenda....!
 
Listen"Atraction has no choice"huyo dogo hujamvutia anachoongea ni hisia tu kumbuka in rlshp" WOMEN DONT MAKE SENSE"
 
Mvumilivu hula mbivu mkuu ila chunga sana ucje sema cztaki mbichi hizi all the best.
 
Back
Top Bottom