Hajawahi kuwa na mpenzi, anayachukia mapenzi, hayuko tayari kuwa katika mahusiano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hajawahi kuwa na mpenzi, anayachukia mapenzi, hayuko tayari kuwa katika mahusiano

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tindikalikali, Apr 17, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Huyu ni msichana ambaye nilianza kumfatilia toka mwaka 2009 mwanzoni. Mwanzo aliniambia anihitaji, nilipojitahidi kumbembeleza aliniambi kwamba hakuna kitu anakichukia kama mapenzi japo hakunipa sababu zake. Muda ulienda na nilijitahidi kuweka ukaribu naye, huku nikiendelea kumuaminisha kwamba nampenda. Siku zilienda mbele na katika hali ya kutaka kunirudisha nyuma, akaniambia kwamba "ana mtu", kitu ambacho hakikuwepo lakini yeye alisisitiza hivyo. Ulipita muda bila kuwasiliana naye{alikuwa shuleni}, baada ya kumaliza form 6 mwaka huu alinitafuta, na tukaanza kuwasiliana tena. Lakini kila nilipoongelea suala la mapenzi, aligeuka mbogo japo alianza kuhitaji kujua habari zangu. Kuna siku baada ya kumshawishi sana alijibu " I dont luv 2 be urs", sms hiyo ilinifanya nimchunie, lakini baada ya wiki 2 aliniuliza "mbona kimya", nilimjibu kwamba "napenda sana kuwa karibu na wewe ila siwezi kuendelea kujiumiza", hapo naye akakaa kimya. Usiku wa kuamkia leo nimeongea naye kwa kina kama masaa 3, ndipo akanithibitishia kwamba hajawahi kuwa na mpenzi na wala hafikirii, nikamuuliza plan zake, akasema nimwambie kwanza za kwangu, nilimweleza ndipo naye akanambia kwamba ataingia kwenye mahusiano pale tu atakapokuwa na elimu+kazi yake. Alisisitiza sana niheshimu malengo yake. Kwa kifupi tumeelewana lakini hatujakubaliana. Nipo njia panda, je anaweza kuwa wangu na kunipenda?, na nahitaji ushauri wenu jinsi ya kumtoa katika hofu alizonazo.
   
 2. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  huyo ni wako ila usiende kasi, ni msichana/mwanamke muelewa na anayejitambua, anamalengo kamili, anakupenda na wewe ukiwa mvumilivu mwishowe atakuwa wako, bali ni vizuri usifanye kosa ama jambo litakalo muonyesha kuwa wewe si muaminifu ktk masuala ya mapenzi, ANAKUCHUNGUZA ,ANAHITAJI KUPATA MWANAUME MKWELI NA AMBAYE ATAKUWA WAKE TU. kisha ondoa tamaa ya mwili yako juu yake litakuvurugias, KUKU WA KWAKO MANATI YA NINI........?[​IMG]
   
 3. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ah, sas hapa tatizo ni kua bado hamjakubaliana chochote.
  kubalianeni kwanza, kama ni kusubiriana ujue na ujaja kama upo tiyari kusubiri au la!
  lakini pia umesema ndo kamaliza form 6, na hyo kazi anataraji kupata lini?? baada ya kujiunga na kumaliza chuo au anaitafuta sa hivi!
  ishu ni kua kuna long way to go na mengi ya kupitia hapo kat mpaka aje amalize shule, na kumaiza shule na kupata kazi ni vitu viwili tofauti.
  nadhani kama wewe upo siriaz nae ni kuzidi kumwaminisha kua unampenda na lengo lake ni kua nae for life.
  mshawishi muanze mahusiano atleast kwa masharti fulani kama ya kutochakachuana mpaka baada ya kipindi fulani. juust mtambuane kama wapenzi.

  vinginevy me nakwachia maamui.
  kila la kheri.
   
 4. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  acha kupoteza muda na mtu asiyeeleweka, do u think mpaka amalize kusoma na apate kazi kama anavyodai yeye bado ww utaipata hyo nafasi? watatokea wengi on the way na ni bora labda aseme ngono hataki ila muwe wapenz tu....ngumu sana, hamna upendo wa hivyo.
  kwanza hana akili, hajui kusimamia malengo yake eti useme kwanza plan zako ndo aseme z, kwan hajui anachotaka? na ni dhahir ukizubaa umemkosa ataangukia pengine.... walu walu huyo
   
 5. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  anadai akishapata 1st degree, mi nipo mwaka wa mwisho. Nakubaliana na wewe, kikubwa kinachohitajika ni makubaliano. Nitafata ushauri wako
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  ni kweli nadhan kufuata anachofikiri inawezekana ni kupoteza muda. Na hiyo ndiyo maana nataka nimtoe kwenye hayo mawazo, maana sidhan kama yana mantiki
   
 7. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Huyo siye wa kwako,ukiweza kumchunguza vizuri utagundua kua huko nyuma alikua na mtu wakashindwana,kama kweli anania na wewe asinge kutega umueleze kwanza plan zako, yeye si anajua anachokitaka? Atakakupotezea muda huyo.
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Huyo co wako, hayuko wazi kwako, anaonekana co mkweli, kuna v2 hajakuweka wazi. Endlea kuvumilia labda kuna cku atabadlika! Mchunguze vzr!
   
 9. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mabinti mabinti mabinti
  Kiukweli umezama katika mapenzi, na mapenzi huvumilia yote... hap tutatoa ushauri weeeeeeeee, kesho akikubip tu moyo unalipuka..! Endelea kumpenda ila punguza ku-expect makubwa sana toka kwake!
  Kuna aina ya hao wasichana, wanakuwa kama hawana hisia sana za kimapenzi sio ni experience mbaya ambazo wamekutana nazo(sio lazima wao hata kwa marafiki au ndugu zao)
  Ila kuna habari nzuri, binti wa hivyo akishapenda (yaani akijiachia kwako) ni utachoka wewe tu!
  Vumilia kaka, japo mi siwezi (labda sijapenda)
   
 10. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  nimekusikia, nitajitahid kutotegemea makubwa, lakin angalau sasa anaonesha nia, sijawah ongea naye more than 20 min, bt jana tumeongea than 2 hours
   
 11. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  thanx mkuu
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  habar ya kutokuwa na mahusiano kabla, niliipata mwenyewe kabla yeye hajaniambia. Kiufupi ni binti mwenye busara, heshima na cfa zote za uzuri
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hajawahi kuwa na mpenzi, anayachukia mapenzi, hayuko tayari kuwa katika mahusiano.........SOUNDS STRANGE
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  samahani my dear
  lakini unauhakika gani hajawahi kuwa na mpenzi??

  Kweli namsifia sana huyo
  dada kwa kujua nini muhimu
  katika maisha yake ELIMU +KAZI

  lakini kwa maelezo hapo juu
  something is not right ..

  1.labda alimjaribu mtu akaona hafai kaamua kurudi kwako
  2. anapenda kitu kimoja ulichonacho mfano personality ..
  3. kweli anamsimamo na maisha yake na hataki mtu kuchezea.
  4.Hakupendi kimaukweli lakini hataki kukwambia sababu atakuumiza

  mmhh hizo za weza kwa sababu chache tu
  ambazo hakuaambi anakupenda...

  lakin kama huna umri mkubwa sana na uko tayrari
  kusubiri kidogo mpe muda zaidi ..
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,788
  Trophy Points: 280
  wewe ni sub!! ):):)
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,788
  Trophy Points: 280
  Tutabanana hapa hapa
  naomba kubanana na wewe
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  kwani wahisi baridi????
   
 18. Capitano

  Capitano JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Afrodenz una akili kama serikali. Huyo mdada hajamzimikia saana jamaa. Na inavyoonekana jamaa kama analazimisha hivi kwa mtazamo wangu. Demu sidhani kama ni wa kawaida.
   
 19. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #19
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye blue
  kama ni CCM umeniangusha mkuu
  hahahahah lol

  kweli mie naona huyu dada
  anachukua advantage ya huyu ndugu yetu hapa..
  na huyu ndugu yetu kajilegeza sana kwake..

  saa nyingine mwanaume anatakiwa
  afunge mkanda haswa is eaither YES or NO , Black or White

  ni kweli wasichana tunapenda kuringishia
  na kuvuta muda ili tusionekana sisi tunawataka sana nyie..
  lakini ya huyu imezidi dada kaenda college karudi na bado anamzungusha
  khaaaaaaa.. na hiyo hajaahi kuwa na mpenzi huyu ndugu yetu ameyajuaje hayo?????:sleepy:
   
 20. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hivi ni ngumu sana kujua kama unavyofikiri?
   
Loading...