Hajarudi nyumbani na hata rudi tena anatafuta hifadhi ughaibuni

Walitegemea kabisa arudi nyumbani lakini hajarudi na inasemekana hatarudi tena nyumbani Kuna taarifa za kutafuta uhamiaji ughaibuni pamoja na familia maana zile Kinga katika wafidha alikuwa nao hana tena.

Zile ndoto za 2020 sijui Kama zipo Tena na Kama zipo basi nguvu yake iko chini Sana.

'Waswahili wanasema ukipiga ukuta na ngumi basi utaumiza mkono wako'
Umejiandaa kupokea matusi lakn?
Maana vibendera siku hizi hawana hoja zaidi ya kutukana tu.
 
Ila kifo cha wauaji nasikia huwa kina tesa sana yani kama ni maumivu wao husikia mara mia zaidi
 
Hahaha Wajinga ndio waluwao
Yule ni mropokaji na Mfanya biashara wa siasa hana lolote
Nawahurumia sana vibendera Wasio elewa msemo wa kuchanganya na zao
Sijawah kuwa mfuasi wa Lissu na wala sitawah, mi namuona kama kuwadi flani tu hv mwenye chuki na wivu, arudi au asirudi kimpango wake....
 
Ujanja ni kujua jinsi ya kuogelea kwenye bahari iliyojaa papa bila kudhurika! Tulio wengi hatukidhi hiki kigezo; hivyo, tunaishia kuwa dead heroes! This may be meaningless. Wahenga walisema: Better a live coward than a dead hero.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom