Hajarudi nyumbani na hata rudi tena anatafuta hifadhi ughaibuni

Self imposed exile?

Arudi apambane. Kama akicheza karata zake za kisiasa vizuri na timing sahihi, mimi naamini pengine kuna siku atakuja kuwa rais wa nchi hii. Pengine 2025, 2030...
Mkuuu hizo ni Ndoto za abunuwasi. Mhe. Mbunge fulani ambaye kwa Taaluma ni Daktari aliwahi kuwaibia Siri kuwa mwenzetu ni Mwezi Mchangga lkn hamtaki kuelewa. Haiji kutokea kwa Vetting za mfumo wa Nchi yetu Never Ever.....Sahau hillo, jifurahishe tu kwa Maneno hayo through your Keybord.
 
Kuna huyu Kigogo 2014 nilisoma naye darasa moja naona kapotea kwenye mitandao sijui yuko wapi.......cheza Mungu wako mwenye hasira na huruma kuliko mwanadamu aliyetumwa kazi utapata taabu sana.

Tujifunze enzi za Mfamle Kaisari na Herode.
Wewe boya usitishe watu kwa comment zako za ajabu wewe ni mchimba chumvi tu
 
Kuuwa ni kazi Kama kazi zingine na mshahara wa walipakodi unatumika kisheria kwenye hayo malipo Tena Bunge linapitisha.
Ngoja zamu yako wewe kuuliwa maana hamjielewi kuwa mnatumika kama condom
 
Kuuwa ni kazi Kama kazi zingine na mshahara wa walipakodi unatumika kisheria kwenye hayo malipo Tena Bunge linapitisha.

Mtumishi wa Shetani.......MUNGU hadhihakiwi,saa yaja utavuna unachokipanda.
 
Kuna huyu Kigogo 2014 nilisoma naye darasa moja naona kapotea kwenye mitandao sijui yuko wapi.......cheza Mungu wako mwenye hasira na huruma kuliko mwanadamu aliyetumwa kazi utapata taabu sana.

Tujifunze enzi za Mfamle Kaisari na Herode.
Kigogo kama jina kigogo limefutwa, ila avatar yenye miwani na midomo mipana bado ipo na ina trend kwa jina jingine.
 
Hata Hitler na Genge lake walikua wanauwa kwa kutumia kodi za wajerumani, walichoma watu moto na kupiga risasi kwa kodi hizo hizo unazosema wewe...mwisho wa siku ni kujilisha upepo......Karma ipo..malipo ni hapahapa........
Kuuwa ni kazi Kama kazi zingine na mshahara wa walipakodi unatumika kisheria kwenye hayo malipo Tena Bunge linapitisha.
 
Atarudi tu wakati ukifika!... ila uzoefu unaonyesha kuwa atarudi akiwa mpole zaidi. Kambona alivyoondoka Tanganyika kwa mbwembwe na vitisho tulidhani Magharibi itatushukia kama Tai, ....Siku alipoamua kurudi alikuja kama mtu aliyefukuzwa huko alikokuwa.
 
Hahaha umenikumbusha mbali sn dah kambona alikuwa si mchezo ila alitulia na wakati ule kuliko na joto la kisiasa sana
Atarudi tu wakati ukifika!... ila uzoefu unaonyesha kuwa atarudi akiwa mpole zaidi. Kambona alivyoondoka Tanganyika kwa mbwembwe na vitisho tulidhani Magharibi itatushukia kama Tai, ....Siku alipoamua kurudi alikuja kama mtu aliyefukuzwa huko alikokuwa.
 
Atarudi tu wakati ukifika!... ila uzoefu unaonyesha kuwa atarudi akiwa mpole zaidi. Kambona alivyoondoka Tanganyika kwa mbwembwe na vitisho tulidhani Magharibi itatushukia kama Tai, ....Siku alipoamua kurudi alikuja kama mtu aliyefukuzwa huko alikokuwa.
Ok
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom