Hajamaliza kulia na CUF sasa anakufa na CHADEMA...

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
7,630
2,000
Hivi hamjajiuliza hivi mheshimiwa sana bwana SK kwanini amebakiwa na habari moja tu kila wiki toka uchaguzi uishe?

Hivi bado hamjajiuliza mtu huyohuyo aliyekuwa akianika ufisadi mpaka akamwagiwa tindikali (kwa mujibu wa madai yake, maana yawezekana ulikuwa mpango wake mwenyewe katika kuosha nyota - kawaida huwa siwaamini wachonganishi na wasiopenda amani - huo ni muono wangu mniwie radhi.)

Pia hatujuzwi hata na magazeti yake kesi ile ilikwishaje!!! badala yake hataki tumhoji hayo anatuletea mapya (naogopa sana kuyaita utumbo kwa maana yanauza kuliko mambo yaliyo muhimu kwa taifa).

SK ni miongoni waandishi habari ambao wamepata kuheshimika, na kwa namna ya uandishi wao ulivyo ukisifiwa, walifikia kilele na kuonekana mashujaa. Leo hii wamejaa majungu baada ya kuona magazeti yao yanafilisika, (yapo baadhi yako taabani hata mishahara inakaribia kushindikana, waandishi wao wanaishi kwa kudra za Mungu) Hivyo basi katika njia mbadala ya kujikimu alianza na CUF sijui walimshinda nguvu sasa AMEHAMIA RASMI CHADEMA kwa kupitia MLANGO WA NYUMA.

Sitoshangaa kesho akienda NCCR na TLP ili mradi aone ni chama kipi kina nguvu

AMKENI MUUJUE UKWELI!
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
7,630
2,000
Mkishajiuliza hilo mjiulize tena - hivi ni nini kilimkimbiza Zanzibar?

Na kutokea hapo mtapata majawabu yooote ya haya ayafanyayo sasa!!
 
DENYO

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
698
195
Wewe kweli mwanamageuko.

Hakuna shujaa mwandishi hapa nchini kama Kubenea, huyu ni kamanda wa vita, kwa taarifa yako masultani wako hawalali wanafikiri wamfanye nini. Ni mwandishi mwenye ethics anatisha kwa habari za uhakika.

Wewe umetumwa na mafisadi, Kubenea ametumwa na nguvu ya umma na atasimama kidete. Hapotezi focus anasimamia jambo. Kubenea, Ulimwengu, Mwanakijiji, Ndimara, Ezekiel, Rula, Joseph, Godfrey Dilunga, Mbasha Asenga, Joster Mwangulumbi, Hilal, Ahmdi wote hawa ni miiba mibaya wanatisha na wanaongoza nguvu ya ummmmmmmma. Haya ni mafagio ya chuma. Huwezi kufananisha waandishi hawa na Balile wa Mtanzania au uhuru na Mzalendo, Dira, tazama, na Rai - haya yatakufa kifo cha mende.

Mashujaaaaa wetu watadumu.
 
Ni maradhi ya kutojua kama shilingi ina pande mbili. ni uvivu tu wa kufikiri kwamba kama mara ya kwanza ulipewa pera unadhani aliyekupa pera hata mara nyingine waamini alichokupa ndicho hata kama sicho.
Sikushangai kwani wenye kazi zenu huwa hamchelewi kujielezea.. ila mimi siko huko vema wenye kazi zao wamekusikia. Nimeleta mjadala na ni vema tukalijadili hilo. :teeth:

Alipotoka India alituahidi kwa kusema namnukuu "nimekuja kupambana na mafisadi."

Sasa haya ya kutuvurugia vyama ndio mapambano yenyewe na ufisadi? Leo nchi umeme ni wa mgao na matatizo mengine kedekede>>> hivi tutavijenga vyama kwa kuvibomoa? Hata wale wahamasishaji wanasema "KAMA UNAMPENDA UTAMLINDA"

Yaani anasababisha nimfikirie mambo mengi sana huyu mtu! Hivi mnadhani ni kweli waliomvamia ofisini kwake hawatambui kiukweli? Hivi mnamjua aliyemlipia matibabu huko India?

Kwa kifupi ameishiwa! hana nyimbo mpya!!
 
DENYO

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
698
195
Mwanamageuko -kama kuna wavivu wa kufikiri basi wewe wa kwanza -kubenea anachofanya chadema ni kukijenga, hawezi mnafiki kutaka kukivuruga chama kama amani kaburu alafu aachwe bila kuanikwa. Kwahiyo zitto lazima aanikwe na atubu ama aondoke chadema. Sasa sijui wewe chuki zako kwa kubenea nini? Manake kubenea kuijenga chadema ni kuitakia mema tanzania. Kwa taarifa yako kubenea habomoi chadema anaijenga chadema hatutaki wanafiki chadema. Kama imekuuma na baado tunataka kubenea aweke yote hadharani mtakimbia wenyewe.

Ukiijenga chadema na kuwa na sauti moja kama walivyomwadhibu jk mjengoni vivyo matatizo ya umeme na katiba mpya yatakuja haraka. Lakini unapokuwa na wanafiki kama zitto wanaojipendekeza ni lini watatanzania watakuwa na sauti moja kudai mabadiliko? Kwahiyo kazi ya kubenea ni muhimu saaana manake anaonesha jinsi chadema inatakiwa kujipanga na kuondoa wanafiki. Tunataka timu moja ambayo itasimama kidete pamoja kwa maslahi ya umma.

Chuki zako kwa kubenea is briefly baseless and stupid if i can -dont talk about that =kubenea is the hero, who else!?
 
MWANALUGALI

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
601
0
Hivi hamjajiuliza hivi mheshimiwa sana bwana SK kwanini amebakiwa na habari moja tu kila wiki toka uchaguzi uishe?

Hivi bado hamjajiuliza mtu huyohuyo aliyekuwa akianika ufisadi mpaka akamwagiwa tindikali (kwa mujibu wa madai yake, maana yawezekana ulikuwa mpango wake mwenyewe katika kuosha nyota - kawaida huwa siwaamini wachonganishi na wasiopenda amani - huo ni muono wangu mniwie radhi.)

Pia hatujuzwi hata na magazeti yake kesi ile ilikwishaje!!! badala yake hataki tumhoji hayo anatuletea mapya (naogopa sana kuyaita utumbo kwa maana yanauza kuliko mambo yaliyo muhimu kwa taifa).

SK ni miongoni waandishi habari ambao wamepata kuheshimika, na kwa namna ya uandishi wao ulivyo ukisifiwa, walifikia kilele na kuonekana mashujaa. Leo hii wamejaa majungu baada ya kuona magazeti yao yanafilisika, (yapo baadhi yako taabani hata mishahara inakaribia kushindikana, waandishi wao wanaishi kwa kudra za Mungu) Hivyo basi katika njia mbadala ya kujikimu alianza na CUF sijui walimshinda nguvu sasa AMEHAMIA RASMI CHADEMA kwa kupitia MLANGO WA NYUMA.

Sitoshangaa kesho akienda NCCR na TLP ili mradi aone ni chama kipi kina nguvu

AMKENI MUUJUE UKWELI!

Hopeless thread!! crap! MS minded type! doesnt qualify to be on great thinkers forum!!!!
 
Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,533
0
"Hivi bado hamjajiuliza mtu huyohuyo aliyekuwa akianika ufisadi mpaka akamwagiwa tindikali (kwa mujibu wa madai yake, maana yawezekana ulikuwa mpango wake mwenyewe katika kuosha nyota - kawaida huwa siwaamini wachonganishi na wasiopenda amani - huo ni muono wangu mniwie radhi."

Temea mate chini hayo hapo juu in red, imagine niwewe ungekuwa umemwagiwa tindikali afu usikie mtu akikudhihaki kiasi hiki??Mambo mengine uwe unafikiria kabla ya kuyapost. Put ya self in Kubeneas shoes!!!
 
ACCOUNTANT

Member
Dec 5, 2010
27

Kubenea piga, ua, garagaza ni CUF wa kutupwa! Ni kweli haipendi kabisa CCM, lakini sasa anaichukia sana CHADEMA na yuko bent kuivuruga hasa. Kisa? Namna CHADEMA walivyo threat chama chake CUF pale Bungeni majuzi kuhusu kambi ya upinzani Bungeni, na malumbano yanayoendelea baina ya vyama hivyo viwili!

Kwa hiyo wapenzi wa CHADEMA wampende Kubenea kama mpinzani mwenzao kwa CCM, lakini when it comes to CUF vs CHADEMA, nyie watu wa CHADEMA mkimwamini na kumsifu Kubenea you have another think coming....! CHADEMA muwe makini naye.

Ni ushauri wangu tu wa bure. Mimi simo!
 
magessa78

JF-Expert Member
Sep 28, 2009
270
0
nishasema hiviii ehhh kuwa eeeh hata kama mmepewa vijisenti kumchafua SK sisi tuko pamoja naye..ni mwandishi makini na hakuna mwandishi anayemkaribia hata robo.BIG UP SK! we,patriotic,are behind u!
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
7,630
2,000
mbona mmekosa uvumilivu!? hamjajibu maswali yangu bado!
Ninachokitaka hebu tujaribu kutazama zaidi ya tunapoona. Kwanini kama kweli we are great thinkers, tunachukulia mambo kiwepesi? nimeomba majibu kwa maswali yale wakati tukitafakari.
Je kweli yeye ni malaika?
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,272

waandishi mahiri wanapatikana New Habari corporation, Habari leo na uhuru na mzalendo. nakushauri weka THREAD YA HAO WAANDISHI TUANZE KUWASIFIA.
IMEKUUMA HEE! "WIZI ULEULE WEZI WALEWALE KATIKA SUTI MPYA" DOWANS WALITUMIA ANUANI YA POSTA NA BARUA PEPE YA KAMPUNI YA CASPIAN (T) LTD, AMBAYO INAMILIKIWA NA ROSTAM AZIZ, NYARAKA ZA BRELA ZINAMTAJA JENERALI AL ADAWI KUWA NDIO MWANZILISHI, LAKINI MWENYEWE ANAKANA KUMILIKI KAMPUNI HIYO, NI KWA NINI TANESCO WALAZIMISHWE KULIPA KAMPUNI ISIYOFAHAMIKA WAMILIKI WAKE? KLHN INTERNATIONAL ILISHAMHOJI BREGEDIA JENERALI AL ADAWI, ALISEMA MAKAMPUNI ANAYOMILIKI HAYAJISHUGHULISHI NA MAMBO YA NISHATI BALI UJENZI NA KWAMBA DOWANS SIO KAMPUNI YA UJENZI. WEWE KIBARAKA USITAKE KUWACHANGANYIA MADA WATANZANIA NENDA KACHEZE RUSHA ROHO NA MAJUHA WENZAKO. HAPA NI JUKWAA LA GREAT THINKERS. MWAKA HUU TUTAZAA NA NYINYI.:embarrassed:

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
0
KAMA ZITTO ANATAKA KUONGEA NASISI VIJANA WENZAKE ATAKUJA KWA WAKATI WAKE SI WEWE KUWA KIPAAZA SAUTI YAKE

Hivi ndugu zetu Mwanamgeuko na Consultant, tulieni kidogo na mpunguze mungkari hizo.

Hamna haja ya kupigania hoja ipate kukubalika kwetu hata kidogo. Haki mnazo kuleta hoja wakati wowote ule lakini ni sharti mkaziache hoja zenyewe zijieleze bila kujipotezea tena muda. Mkumbuke, hoja ikishatoka si mali yako tena bali ni mali yetu sote JF. Tangu hapo ni juu yetu tukalitazame vipi vile.

Nionavyou mimi, mpaka hapa kuna dalili kwamba kuna mwenzetu anamtilia WASIWASI SAID KUBENEA. Lakini sababu zinazomfanya amtilie wasiwasi ndio bado kazishindwa kuziweka BAYANA mezani tukazichambue. Kubenea hata kama ni mwanachama wa CUF; chama hiki nacho ni cha Wa-Tanzania wasioridhishwa na mambo kadhaa kama tulivyo huku CHADEMA.

Achilia mbali kwamba viongozi wa CUF wamefunga ndoa ya KISIRI na CCM hata bila ya wazazi wake (wanachama, Said Kubenea akiwemo) kujulishwa na sasa tunaona ndoa yao ilikua ni ya KUGAWANA TU MADARAKA bila tija za moja kwa moja kwa wenye chama chao ambao hawakushirikishwa kamwe, Said Kubenea huenda alikipendea tu DHUMUNI LAKE LA MSINGI LA KULETA mabadiliko ya kweli nchini kwetu. Sasa baada ya ndoa hiyo ya siri huenda SK kama mtu mwingine yeyote yule kaona MABADILIKO YA KWELI ya CHADEMA kwa sasa, je wewe aliwahi kukushirikisha kwamba CUF ni mama yake na baba yake kiasi kwamba hawezi kukihama??

Sitaki kumuangalia SK kwa misingi ya dini gani bali ningependa nimuangalie kwamba ni msingi upi unaomfanya Mtanzania wa aina tofauti kidogo na wengi wetu?? Mtazamo kwa msingi huo hapo unanifanya nitazame nyuma kidogo na kufuatilia nyanyayo zake; kila wakati namuona akipambana kufa na kupona na ufisadi mpaka leo. Tena huyu bwana kila nikisoma habari zake naona hamung'unyi maneno anapokemea maovu na dhuluma dhidi yetu. Sasa kama yote hayo alikua anayafanya kwa unafiki tu basi tena ndio nitakua nimeanza kuchanganyikiwa hadi hapo utakapojitolea wewe mwenyewe na ushahidi wa kunielekeza kumfikiria vinginevyo huku tuendako.

Na pia Mwanamgeuko, nikijibidisha kidogo kutokuonyesha UVIVU WA KUFIKIRI kama ambavyo ulivyodai hapo nyuma kidogo, akili yangu inanipa kwamba MTU ASIYEKUJALI KITU WALA HANA MUDA WA KUKUSEMASEMA. Kwa lugha nyingine nasema unapotuona tukimkemea ZITTO ZUBERI KABWE, Mheshimiwa Mbunge, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Chetu Cha CHADEMA na naibu Mwenyekiti wa Upinzani Bungeni, ni kwamba yeye kama yeye TUNAMPENDA SANA TENA MNO isipokua mbegu fulani zito liliota ndani mwake tangu kuingia kamati ya madini nchini ambayo mpaka leo
inamfanya awe ni MBADHIRIFU WA VITENDO NA MAWAZO tofauti na yale ambayo tungemtegemea akafanye na KUTII WAKATI WOTE AWAPO NDANI YA VIKAO VYA CHAMA ndivyo vinavyotugombanisha na huyu ndugu aliewahi kuwa KIPENZI CHA KUNIFANYA NIFUATILIE MAMBO YA SIASA ambayo huko nyuma sikuwahi kuipa muda wana hata sekunde moja.

Sasa Mzee, kurahisisha jinsi wafuasi tuliowengi wa CHADEMA kwa huyu mheshimiwa hadi sasa ni KAMA MTU KUSALITIWA NA MTU AMBAYE TAYARI ULISHAMTANGAZA MBELE YA NDUGU ZAKO KUWA NI MCHUMBA WA KUJA KUISHI NAYE BAADAYE maisha yenu yote. Labda nikuulize tu swali ndogo tu; je umewahi kusalitiwa na mpenzi katika maisha yako yote??? Kama jibu ni ndio, basi jambo hilo ilipotokea ulijisikiaje mwenyewe rohoni?? Vyovyote ulivyojisikia
sasa sisi Wana-CHADEMA kwa kipindi kirefu tunaona KUSALITIWA NA MCHUMBA NA WALA SI MPENZI TU ... Mwanamgeuko kwa Ndugu Zitto naona binafsi UNIOMBE RADHI juu ya huyu bwana na nisingependa kuona thread yoyote juu yake humu mpaka awe ametuomba radhi na yeye sisi vijana wenzake kwa njia iliowazi kabisa ili yaishe. Huyu bwana chama kimemwamini kiasi cha KUMTWISHA VYEO KIBAO kana kwamba yeye ndiye mwanachama peke yake na sisi vijana wenzake tunahangaika na njaa zetu huku mitaani kumunga mkono ili ahueni ya Maslahi ya Umma ipatikane halafu anaanza kuleta longolongo na kujidai USHUJAA wa kutokutabirika na unaona ni vema tu????????????

Nakuhakikishia, ZITTO ZUBERI KABWE akijitokeza wazi na kutuomba msamaha sisi vijana wenzake na kutuahidi kwamba katu hatoshiriki njia za KIFISADI, Kuwatukuza wala kuwatengenezea njia BASI MIMI HAPA NITAKUA wa kwankza kumsamehe na kumrudisha kundini.
Nakwambia katika maswala ya msingi hata Dr Slaa mwenyewe ndiye angeanza na mwenendo ambayo hatuielewielewi basi wewe utaona tu moto wake. Vijana hatufuati sura ya mtu, bali tu 'SAUTI YA HAKI' anayoitoa na kuendelea kuitetea wakati wote.

Kama una matatizo binafsi na Saed Kubenea kamfuate ofisini kwake, na wala usitake kuleta majibu rahisi kwa maswali magumu mbele ya Wana-JF. Kama wewe ni Mhariri wa Mtanzania, fanyia kazi sera yako ya gazeti lako na kama kakutuma kwetu Kabwe basi mwambie binafsi ninavyomfikiria na mambo gani ya kufanya kuokoa Political Future yake ni kuzingatia hayo hapo juu.

Usije ukawa ndiye yule uliyeleta CHEAP PROPAGANDA za kudai mtu anataka kumuua Mhe Kabwe ili aweze kupata PUBLIC SYMPATHY kutoka kwetu. Wa kumua sioni cha msingi arudi kuwa yule Zitto wa kabla ya Kujiunga na Tume ya Kuchunguza Maswala ya Mikataba ya uchimbaji madini nchi.

Mimi kama kijana mojawapo niliejichagulia mwenyewe kupenda vijana wenzangu bungeni akiwemo Zitto, Mnyika, Ndugai, Kafulila, Mr II na wengine ambao hawajajiunga na Genge la Mafisadi, huwezi kunielekeza namna na wakati gani nimpende huyu bwana kwa sababu nina uhakika namfahamu zaidi yako wewe!!!

Go and do more homework on this topic Mwanamgeuko!!
 
Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
0
Hivi hamjajiuliza hivi mheshimiwa sana bwana SK kwanini amebakiwa na habari moja tu kila wiki toka uchaguzi uishe?

Hivi bado hamjajiuliza mtu huyohuyo aliyekuwa akianika ufisadi mpaka akamwagiwa tindikali (kwa mujibu wa madai yake, maana yawezekana ulikuwa mpango wake mwenyewe katika kuosha nyota - kawaida huwa siwaamini wachonganishi na wasiopenda amani - huo ni muono wangu mniwie radhi.)

Pia hatujuzwi hata na magazeti yake kesi ile ilikwishaje!!! badala yake hataki tumhoji hayo anatuletea mapya (naogopa sana kuyaita utumbo kwa maana yanauza kuliko mambo yaliyo muhimu kwa taifa).

SK ni miongoni waandishi habari ambao wamepata kuheshimika, na kwa namna ya uandishi wao ulivyo ukisifiwa, walifikia kilele na kuonekana mashujaa. Leo hii wamejaa majungu baada ya kuona magazeti yao yanafilisika, (yapo baadhi yako taabani hata mishahara inakaribia kushindikana, waandishi wao wanaishi kwa kudra za Mungu) Hivyo basi katika njia mbadala ya kujikimu alianza na CUF sijui walimshinda nguvu sasa AMEHAMIA RASMI CHADEMA kwa kupitia MLANGO WA NYUMA.

Sitoshangaa kesho akienda NCCR na TLP ili mradi aone ni chama kipi kina nguvu

AMKENI MUUJUE UKWELI!

Hii ina maana hana ufadhili kutoka chama chochote cha siasa -- pamoja na hicho chama twawala ambacho ndicho analia nacho kila siku.
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
7,630
2,000
Bado sijaelewa somo!
Nahitaji majibu, je mnataka tuanike sms zake na hao anaopingana nao hii leo? Je mnataka tuweke hapa kila kitu ili mumjue vema SK?
Hebu someni kwa makini nimeanzaje hii mada then tujadili. Ila kama ni kubwabwaja ovyo nako ni kujadili ni sawa pia kwani kila mmoja wetu ana uoni wake na upeo wake. Maana wanasema Ukinizidi kwa mbio nitakuzidi kwa urefu ndio maana hatufanani!:teeth:

Tukirudi kwenye mada kuna maswali naomba bado majawabu yake. (ingelikuwa vema yeye mwenyewe akajibu kwa maana nae pia ni mwanachama hapa - ama hilo nalo hamlijuwi?

HIVI NI KWANINI WATU HUWA WANAAMINI UONGO NA KUUTILIA MASHAKA UKWELI?
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
7,630
2,000
KAMA ZITTO ANATAKA KUONGEA NASISI VIJANA WENZAKE ATAKUJA KWA WAKATI WAKE SI WEWE KUWA KIPAAZA SAUTI YAKE

Hivi ndugu zetu Mwanamgeuko na Consultant, tulieni kidogo na mpunguze mungkari hizo.

Hamna haja ya kupigania hoja ipate kukubalika kwetu hata kidogo. Haki mnazo kuleta hoja wakati wowote ule lakini ni sharti mkaziache hoja zenyewe zijieleze bila kujipotezea tena muda. Mkumbuke, hoja ikishatoka si mali yako tena bali ni mali yetu sote JF. Tangu hapo ni juu yetu tukalitazame vipi vile.

Nionavyou mimi, mpaka hapa kuna dalili kwamba kuna mwenzetu anamtilia WASIWASI SAID KUBENEA. Lakini sababu zinazomfanya amtilie wasiwasi ndio bado kazishindwa kuziweka BAYANA mezani tukazichambue. Kubenea hata kama ni mwanachama wa CUF; chama hiki nacho ni cha Wa-Tanzania wasioridhishwa na mambo kadhaa kama tulivyo huku CHADEMA.

Achilia mbali kwamba viongozi wa CUF wamefunga ndoa ya KISIRI na CCM hata bila ya wazazi wake (wanachama, Said Kubenea akiwemo) kujulishwa na sasa tunaona ndoa yao ilikua ni ya KUGAWANA TU MADARAKA bila tija za moja kwa moja kwa wenye chama chao ambao hawakushirikishwa kamwe, Said Kubenea huenda alikipendea tu DHUMUNI LAKE LA MSINGI LA KULETA mabadiliko ya kweli nchini kwetu. Sasa baada ya ndoa hiyo ya siri huenda SK kama mtu mwingine yeyote yule kaona MABADILIKO YA KWELI ya CHADEMA kwa sasa, je wewe aliwahi kukushirikisha kwamba CUF ni mama yake na baba yake kiasi kwamba hawezi kukihama??

Sitaki kumuangalia SK kwa misingi ya dini gani bali ningependa nimuangalie kwamba ni msingi upi unaomfanya Mtanzania wa aina tofauti kidogo na wengi wetu?? Mtazamo kwa msingi huo hapo unanifanya nitazame nyuma kidogo na kufuatilia nyanyayo zake; kila wakati namuona akipambana kufa na kupona na ufisadi mpaka leo. Tena huyu bwana kila nikisoma habari zake naona hamung'unyi maneno anapokemea maovu na dhuluma dhidi yetu. Sasa kama yote hayo alikua anayafanya kwa unafiki tu basi tena ndio nitakua nimeanza kuchanganyikiwa hadi hapo utakapojitolea wewe mwenyewe na ushahidi wa kunielekeza kumfikiria vinginevyo huku tuendako.

Na pia Mwanamgeuko, nikijibidisha kidogo kutokuonyesha UVIVU WA KUFIKIRI kama ambavyo ulivyodai hapo nyuma kidogo, akili yangu inanipa kwamba MTU ASIYEKUJALI KITU WALA HANA MUDA WA KUKUSEMASEMA. Kwa lugha nyingine nasema unapotuona tukimkemea ZITTO ZUBERI KABWE, Mheshimiwa Mbunge, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Chetu Cha CHADEMA na naibu Mwenyekiti wa Upinzani Bungeni, ni kwamba yeye kama yeye TUNAMPENDA SANA TENA MNO isipokua mbegu fulani zito liliota ndani mwake tangu kuingia kamati ya madini nchini ambayo mpaka leo
inamfanya awe ni MBADHIRIFU WA VITENDO NA MAWAZO tofauti na yale ambayo tungemtegemea akafanye na KUTII WAKATI WOTE AWAPO NDANI YA VIKAO VYA CHAMA ndivyo vinavyotugombanisha na huyu ndugu aliewahi kuwa KIPENZI CHA KUNIFANYA NIFUATILIE MAMBO YA SIASA ambayo huko nyuma sikuwahi kuipa muda wana hata sekunde moja.

Sasa Mzee, kurahisisha jinsi wafuasi tuliowengi wa CHADEMA kwa huyu mheshimiwa hadi sasa ni KAMA MTU KUSALITIWA NA MTU AMBAYE TAYARI ULISHAMTANGAZA MBELE YA NDUGU ZAKO KUWA NI MCHUMBA WA KUJA KUISHI NAYE BAADAYE maisha yenu yote. Labda nikuulize tu swali ndogo tu; je umewahi kusalitiwa na mpenzi katika maisha yako yote??? Kama jibu ni ndio, basi jambo hilo ilipotokea ulijisikiaje mwenyewe rohoni?? Vyovyote ulivyojisikia
sasa sisi Wana-CHADEMA kwa kipindi kirefu tunaona KUSALITIWA NA MCHUMBA NA WALA SI MPENZI TU ... Mwanamgeuko kwa Ndugu Zitto naona binafsi UNIOMBE RADHI juu ya huyu bwana na nisingependa kuona thread yoyote juu yake humu mpaka awe ametuomba radhi na yeye sisi vijana wenzake kwa njia iliowazi kabisa ili yaishe. Huyu bwana chama kimemwamini kiasi cha KUMTWISHA VYEO KIBAO kana kwamba yeye ndiye mwanachama peke yake na sisi vijana wenzake tunahangaika na njaa zetu huku mitaani kumunga mkono ili ahueni ya Maslahi ya Umma ipatikane halafu anaanza kuleta longolongo na kujidai USHUJAA wa kutokutabirika na unaona ni vema tu????????????

Nakuhakikishia, ZITTO ZUBERI KABWE akijitokeza wazi na kutuomba msamaha sisi vijana wenzake na kutuahidi kwamba katu hatoshiriki njia za KIFISADI, Kuwatukuza wala kuwatengenezea njia BASI MIMI HAPA NITAKUA wa kwankza kumsamehe na kumrudisha kundini.
Nakwambia katika maswala ya msingi hata Dr Slaa mwenyewe ndiye angeanza na mwenendo ambayo hatuielewielewi basi wewe utaona tu moto wake. Vijana hatufuati sura ya mtu, bali tu 'SAUTI YA HAKI' anayoitoa na kuendelea kuitetea wakati wote.

Kama una matatizo binafsi na Saed Kubenea kamfuate ofisini kwake, na wala usitake kuleta majibu rahisi kwa maswali magumu mbele ya Wana-JF. Kama wewe ni Mhariri wa Mtanzania, fanyia kazi sera yako ya gazeti lako na kama kakutuma kwetu Kabwe basi mwambie binafsi ninavyomfikiria na mambo gani ya kufanya kuokoa Political Future yake ni kuzingatia hayo hapo juu.

Usije ukawa ndiye yule uliyeleta CHEAP PROPAGANDA za kudai mtu anataka kumuua Mhe Kabwe ili aweze kupata PUBLIC SYMPATHY kutoka kwetu. Wa kumua sioni cha msingi arudi kuwa yule Zitto wa kabla ya Kujiunga na Tume ya Kuchunguza Maswala ya Mikataba ya uchimbaji madini nchi.

Mimi kama kijana mojawapo niliejichagulia mwenyewe kupenda vijana wenzangu bungeni akiwemo Zitto, Mnyika, Ndugai, Kafulila, Mr II na wengine ambao hawajajiunga na Genge la Mafisadi, huwezi kunielekeza namna na wakati gani nimpende huyu bwana kwa sababu nina uhakika namfahamu zaidi yako wewe!!!

Go and do more homework on this topic Mwanamgeuko!!
DOGO kwa kukusaidia tu hapo blue, USIMUAMINI MWANADAMU HATA KAMA NI BABA YAKO! Lazima ufikiri na kupembua, wale wote ambao huingia matatani huwa imetokana na kuwaamini waliowaamini, ama hilo nalo hulijui? (Anzia kwa Hitler na wengineo hujui nao pia waliaminiwa?)

Hapa napenda kukuambia kama mimi ningelikuwa ndio ZK nisingeliendelea na Malumbano yasiyo na msingi kwa sababu KUENDELEA KUJIBIZANA NAO NDIKO KUNAKOFANIKISHA BIASHARA ZAO, Kwani hawana muamana wakijibiwa neno moja wao wanaongezea miamoja!! Ndio maana katika magazeti ya Tanzania Headings hutofautiana km. moja litaandika "Basi la King laua sita Tanga" jengine litaandika "Watu kumi wafa kwa ajali Tanga basi la King" habari moja lakini kila kitu tofauti je ikifika kwa wapokeaji wengine haitakuwa kile kisa cha mwayo wa maskini kwenye alfulela ulela?
Hebu someni vitabu vya Chinua Achebe....

Nikienda mbali zaidi ya hapo: kama ulivonitaka nifanye kazi za ziada kwa mada hii. Baada ya kuweka mada hii, ilibidi mtani wangu mmoja ajaribu kui-twist kwa kuweka mada iliyo kinyume na hii :teeth: Nimecheka kwa sababu alipaswa kunipa majibu ya maswali yangu na si kuendeleza ushabiki na unazi.
TUUTAFUTE UKWELI ILI TUJUE NI KWANINI WAANDISHI HABARI WENGI WANATUMIWA? HUYO SK NI MFANO WA HAO WENGINE.... je hao wanaowatumia shida zao zikiisha itakuwaje???

Isaac

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
676
250
mbona mmekosa uvumilivu!? hamjajibu maswali yangu bado!
Ninachokitaka hebu tujaribu kutazama zaidi ya tunapoona. Kwanini kama kweli we are great thinkers, tunachukulia mambo kiwepesi? nimeomba majibu kwa maswali yale wakati tukitafakari.
Je kweli yeye ni malaika?

Majibu yapi unayataka wakati unayo ya kwako?
 
DENYO

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
698
195
Mageuko mageuko mageuko-pole kibaraka unayetaka kuchanganya ukweli, zitto tunamfahamu na kubenea tunamfahamu. Sk is tanzania hero ametumia vema kalam yake na wazandiki hawataweza kumyumbisha. Nakubaliana na msimamo wake wa kuandika ukweli daima siku zote iwe kuisema serikali tawala au vyama vya siasa. Hatutaki uzandiki na wehu. Maswali unayosema hayajajibiwa kumuulize zitto.
 
ha ha! maswali ya huihui aulizwe bulicheka yajaje?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom