Haiwezekani kwenda Mahakamani kudai mali zilizokuwa zinamilikiwa na CCM wakati wa chama kimoja?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,668
149,840
Wanasheria hili haliwezekani?

Mwenye kudai mali fulani ni yake,akathibitishe hivyo Mahakamani kwa kuonyesha vithibitisho (documents)vinavyohalalisha umiliki wake ikiwa ni pamoja na risiti za malipo, hati za viwanja, n.k

Haya nayo ni majibu!
 
Last edited:
Inawezekana lakini CCM itashinda kesi,kwasababu Mahakama ni CCM kwa asilimia kubwa..Refer kesi ya mita 200.
 
Mali za ccm na serkali hazikuwa na hati wa umiliki wa maandishi but n order na zawadi

Sasa wanatafuta hati cjui kama Itawezekana kwa mahakama pekee
Hilo linahitaji ushiriki wa bunge pia na executive
 
Mimi naamini wapinzani wakisimamisha mawakili makini kuna mengi yataibuka na yatakosa majibu.
 
Mi nadhan walijua na ndio wako kimya
Hii kesi ingekuwa tamu mwaka 92hadi 95
 
Inawezekana lakini CCM itashinda kesi,kwasababu Mahakama ni CCM kwa asilimia kubwa..Refer kesi ya mita 200.
Mita 200 imekuuma sana wewe nyumbu.tatizo uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana mnaaminishwa visivyowezekana mnakubali.mbona kesi ya kuburuza maiti barabarani mlishinda
 
Hapo walishinda kwasababu aliyefungua kesi ni babamdogo wa Marehemu.
 
Wanasheria hili haliwezekani?

Mwenye kudai mali fulani ni yake,akathibitishe hivyo Mahakamani kwa kuonyesha vithibitisho (documents)vinavyohalalisha umiliki wake ikiwa ni pamoja na risiti za malipo, hati za viwanja, n.k

Haya nayo ni majibu!
Sasa nyie si ndo mnasemaga kuwa hizo ni mahakama za ccm sasa mnaziamin kweli
 
Mita 200 imekuuma sana wewe nyumbu.tatizo uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana mnaaminishwa visivyowezekana mnakubali.mbona kesi ya kuburuza maiti barabarani mlishinda
nyumbu night ni wewe na tensa hili jipu lazima tulitumbue hata kwa (msumeno)

swissme
 
Back
Top Bottom