Haiwezekani katu. Dodoma sio makao makuu ya nchi

fundik

Member
Apr 22, 2013
59
38
Karibu kila siku namsikia Marin Hassan wa TBC akituambia kuwa Dodoma ni Makao Makuu ya Tanzania. Kama haelewi maana ya Makao Makuu ya Nchi, naamini Mkurugenzi wake anaelewa ila hajatambua au hasikilizi matangazo ya taasisi anayoisimamia.

Sifa za makao makuu;
1. Mswada wa kuufanya mji kuwa makao upelekwe bungeni na kupitishwa
2. Raisi asaini kuwa sheria
3. Itangazwe kwenye gazeti la serikali kuwa mji husika ndio makao makuu
4. Mkuu wa nchi/ mihimili ya dola na wasaidizi wake/ mawaziri wawe na ofisi zao hapo
5. ..................................
6. ...........................
 
Jibu ni Dodoma ndio Mji Mkuu wa Tanganyika na Zanzibar Visiwani
 
Karibu kila siku namsikia Marin Hassan wa TBC akituambia kuwa Dodoma ni Makao Makuu ya Tanzania. Kama haelewi maana ya Makao Makuu ya Nchi, naamini Mkurugenzi wake anaelewa ila hajatambua au hasikilizi matangazo ya taasisi anayoisimamia.

Sifa za makao makuu;
1. Mswada wa kuufanya mji kuwa makao upelekwe bungeni na kupitishwa
2. Raisi asaini kuwa sheria
3. Itangazwe kwenye gazeti la serikali kuwa mji husika ndio makao makuu
4. Mkuu wa nchi/ mihimili ya dola na wasaidizi wake/ mawaziri wawe na ofisi zao hapo
5. ..................................
6. ...........................

UMEPITWA NA WAKATI WEWE.
 
Back
Top Bottom