Haiwezekani askari mmoja alinde watu 2000, polisi wapewe kibali cha kuajiri

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,456
2,000
Habari wanabodi..!

Kwa sasa inaonyesha kila idara ya Serikali kuna upungufu wa watumishi.Moja ya kitengo nyeti sana ni jeshi la polisi ni muda sasa sijaona Tangazo la ajira za polisi zikitangazwa.

Najua kutokana na protocal za kazi zao hawa jamaa sidhani kama wanaweza kulalamika kwamba tuna upungufu wa watumishi.

Polisi wana vitengo vingi sana kuanzia ufundi,utabibu,uhasibu n.k lakini cha ajabu hakuna nafasi za kazi ambazo zimekuwa zikitangazwa miaka ya hivi karibuni,pia wapo waliostaafu,waliofukuzwa kazi na walifariki dunia lakini bado hawaajiri watumishi wapya.

Nimesikia kwa sasa polisi mmoja analindwa wastani wa watu 2000 badala ya 450 hii maana yake tunaitaji wa polisi mara tatu na.

Naomba nichukue fursa hii kuomba wizara iombe kibali hili waajiri vijana wakachape kazi,vijana wanalipenda sana jeshi la polisi,basi rais wetu mpendwa mama Samia Hassan amwage wino angalau 6000 vijana wajimwae mwae huku kazi inaendelea.

😁😁😁😁
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
3,615
2,000
Habari wanabodi..!
Kwa sasa inaonyesha kila idara ya serikali kuna upungufu wa watumishi.Moja ya kitengo nyeti sana ni jeshi la polisi ni muda sasa sijaona Tangazo la ajira za polisi zikitangazwa.

Najua kutokana na protocal za kazi zao hawa jamaa sidhani kama wanaweza kulalamika kwamba tuna upungufu wa watumishi.

Polisi wana vitengo vingi sana kuanzia ufundi,utabibu,uhasibu n.k lakini cha ajabu hakuna nafasi za kazi ambazo zimekuwa zikitangazwa miaka ya hivi karibuni,pia wapo waliostaafu,waliofukuzwa kazi na walifariki dunia lakini bado hawaajiri watumishi wapya.Nimesikia kwa sasa polisi mmoja analindwa wastani wa watu 2000 badala ya 450 hii maana yake tunaitaji wa polisi mara tatu na.

Naomba nichukue fursa hii kuomba wizara iombe kibali hili waajiri vijana wakachape kazi,vijana wanalipenda sana jeshi la polisi,basi rais wetu mpendwa mama Samia Hassan amwage wino angalau 6000 vijana wajimwae mwae huku kazi inaendelea.

😁😁😁😁
Lengo ni zuri,swali ni je?tuna mapato ya kutosha kugharamia Hilo ongezeko la wafanyakazi,maana polisi hawazalishi kitu,ni huduma tu,watahitaji mishahara,nyumba,nk.
Bongo yetu Bado jama,inabidi tuwe na mapato ya kutosha kuweza kufanya yote hayo,huwa mnajiuliza China inatoa wapi pesa zote za kugharamia miradi kila pembe ya Afrika,uchumi unalipa,viwanda vinaingiza pato kubwa kwa nchi,kiasi inaweza kutoa misaada,sie kutoa bima tu kwa wazee,tunashindwa!
 
Mr pianoman

JF-Expert Member
May 22, 2019
2,141

Mpaka tusubiri uchumi ukue ndio tuajiri polisi si wataisha wote mkuu
 
TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,456
2,000
Lengo ni zuri,swali ni je?tuna mapato ya kutosha kugharamia Hilo ongezeko la wafanyakazi,maana polisi hawazalishi kitu,ni huduma tu,watahitaji mishahara,nyumba,nk.
Bongo yetu Bado jama,inabidi tuwe na mapato ya kutosha kuweza kufanya yote hayo,huwa mnajiuliza China inatoa wapi pesa zote za kugharamia miradi kila pembe ya Afrika,uchumi unalipa,viwanda vinaingiza pato kubwa kwa nchi,kiasi inaweza kutoa misaada,sie kutoa bima tu kwa wazee,tunashindwa!
Polisi wana mpaka maviwanda ya nguo na viatu unasemaje hawazalishi ??Polisi wana vitengo vingi bro .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom