jimmy jeoff
Member
- Jul 29, 2019
- 77
- 109
Kwa maoni ya namshauri mh Ndugai ajiuzulu ubunge apumzike siasa abaki mwanamtandao tu wa siasa za kimkakati
Sipati picha mh Ndugai anamuomba msadizi wake za zamani nafas ya kuuliza swali la nyongeza!
Mzee Ndugai yupo humu JF. Mzee ulipata ajali ya kisiasa jiuzulu ubakishe heshima kidogo iliyobaki. Kama ni mikopo ya CrdB utalipa tu kinua mgongo kipo