Angejing'atua kwa yote kabisa: uspika, ubunge, ndoto za 2025 na siasa katika ujumla wake.

Apumnzike ale marupurupu, pensheni na akiba yake kwa amani.
 
Hili ndilo tatizo la wabunge wachumia tumbo. Yupo tayari kudhalilika ndani ya bunge ilmradi mkono uende kinywani. Uchumia tumbo haujawahi kumuacha mchumiaji salama.
Hahahahah wanaita funika kombe mwana haramu apite😅
 
Angejing'atua kwa yote kabisa: uspika, ubunge, ndoto za 2015 na siasa katika ujumla wake.

Apumnzike ale marupurupu, pensheni na akiba yake kwa amani.
Akinga'atuka vyote litakuwa jambo la heri pia lakini, kwa jinsi ninavyowafahamu wabunge wa CCM kwa uchumia tumbo wao, itakuwa ngumu sana kuachia vyote hivi.
 
Hana aibu,ataingia Bungeni na kukaa back bench.
Wanasiasa wa CCM ni kama MALAYA wapo tayari kudhalilika kisa pesa. Hawa ndio wale wanasiasa ambao Nyerere alisema wana tabia za kimalayamalaya ✍️
 
Mheshimiwa mbunge wa Kongwa naweza kukufanya usiongee chochote hakuna taarifa wala nini na hamna kitu utafanya kaa chini😅
Dah. Maisha haya bwana. Ni bora unakuwa mfanyakazi wa kawaida tu, unakusanya pesa unafanya biashara unakuwa low key...then unakula life kimya kimya maana suipojipublish mitandaoni una uwezo wa kula maisha kimya kimya na ukapiga pesa bila watu kukujua. Ila ukiwa maarufu au mwanasiasa na ukawa na bifu na wakuu, mwisho wake ni fedheha na mental breakdown
 
... ni sahihi na heshima kwake. Kwa nafasi aliyokuwa nayo ni fedheha kubwa kwa Ndugai kuingia Bungeni; kwanza awe scanned mlangoni; pili acheki kwenye pigeon hole yake kuona kama kuna barua au wito wowote; tatu aulize swali la nyongeza; nne akatizwe na Jenister kuhusu mwongozo wa Spika!

Kwa kujiuzulu stahili zake za Spika "mstaafu" ziko pale pale 80% ya mshahara wa Spika atakayekuwepo kwa wakati huo na stahili nyinginezo ambazo ni by far better than ubunge! Atumie muda huu kushughulikia miradi yake na kupumzika.
Hii ni busara kubwa. Ila tatizo la binadamu asilimia kubwa sana ni kwamba they want more and more and more, until they can't eat it all at once and loose it all. Kuridhika ni kitu kimoja sana ambacho ukijaaliwa kuwa nacho utakuwa happy sana. Hawaridhiki na hizo pesa hata yawe mamilioni mangapi kila mwezi🙂
 
Ana kesi ya Jinai kuwapiga kwa bakora wapiga kura wake na waandishi wa habari.
Alizidhalilisha taasisi zingine zikimwandikia barua za kiofisi kwa mhimili wa Bunge.Nayeye alizijibu kwa jaziba huku mtendaji mkuu wa binge ni katibu wa bunge.
Ameikanyaga katiba Mara kwa Mara kisa ubabe.

Kulinda heshima yake ili abakiwe angalau na kaheshima ajivue pia hata ubunge ili jumbo limpate mbunge asiye na makandokando jimboni kongwa na Taifa.
CCM mmuazimie pia aachie ubunge jimboni.
 
Ana kesi ya Jinai kuwapiga kwa bakora wapiga kura wake na waandishi wa habari.
Alizidhalilisha taasisi zingine zikimwandikia barua za kiofisi kwa mhimili wa Bunge.Nayeye alizijibu kwa jaziba huku mtendaji mkuu wa binge ni katibu wa bunge.
Ameikanyaga katiba Mara kwa Mara kisa ubabe.

Kulinda heshima yake ili abakiwe angalau na kaheshima ajivue pia hata ubunge ili jumbo limpate mbunge asiye na makandokando jimboni kongwa na Taifa.
CCM mmuazimie pia aachie ubunge jimboni.
Kwanza asije akathubutu kuchukua fomu ya kugombea ubunge mwaka 2025 kwa kuwa jina lake halitarudi. Atakuwa anajidhalilisha bure; ajing'atue tu mapema kabla heshima yake haijashuka mpaka zero. ✍️
 
Sijawahi kuona nchi ya kipumbavu na kijinga kama Tanzania ambayo mtu akijiuzuru nafasi yake ya kiungozi anaitwa 'mstaafu' na kulipwa mafao na pensheni lukuki. Hii ni nchi ya ajabu sana kupata kuwepo hapa ulimwenguni ✍️
 
Kuna nafasi kwenye uongozi wa kisiasa ukifikia basi mwisho wa huo uongozi huwa ni kama lazima mtu astaafu.Nafasi kama ya urais, uwaziri mkuu, jaji mkuu na spika wa Bunge hizi ni nafasi kubwa sana kwenye uongozi wa Nchi.

Job Ndugai alikuwa spika wa Bunge letu tukufu manake ndiye alikua mkuu wa mhimili wa Bunge na leo kajiuzulu uspika sasa amebaki kama mbunge wa kawaida manake itabidi awe anasimama spika akiingia bungeni.

Sasa hali hii itamuumiza kisaikilojia na hatakua na amani kukaa bungeni.

Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa namshauri ajiuzulu kulindi hadhi yake.

Tanzania haijawai kuwa na Spika wa Bunge na badae akawa Tena mbunge na hii inamanisha mwisho wa hivi vyeo huwa ni kistaafu.
 
Back
Top Bottom