Haiti...nimechoka kabisa!

Shishi

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
1,242
39
Am tired of CNN and BBC and the rest.... enough of the graphic pictures of the Haitian disaster...can they focus on the relief efforts?
 
Am tired of CNN and BBC and the rest.... enough of the graphic pictures of the Haitian disaster...can they focus on the relief efforts?

Nilidhani zinasaidia watu kuona ukubwa wa tatizo na hivyo kutoa msaada appropriately!
 
Nilidhani zinasaidia watu kuona ukubwa wa tatizo na hivyo kutoa msaada appropriately!

Hamna bwana we already know the gravity and how devastating the situaion is....lakini kuweka picha za walooadhirika ndio bishara hiyo? mbona marekani hawaweki picha kama hizo sept 11 uliona picha hata moja ya maiti ama mtu akining'inia from the rubble???? nimechoka tu!
 
Back
Top Bottom