Haitakuja tokea ngoma nyingine kali ya Club kama Mikasi ya Ngwair na Mchizi Mox

Ni bong moja la ngoma kabisakabisa.. Ni ngoma ya miaka yote ktk simu yangu..
Nakumbuka hii ngoma imetoka Around 2004 (wadau mtaniweka sawa)kipindi hicho nipo kichaliichalii hata baleghe bado, tulikuw tunacheza sana hii ngoma..
Hongera sana wahusika wote
 
Ni asubuhi ninaamka ninapiga mswaki Kisha naenda kubath kuweka mwili safi Narudi ghetto nafungua kabati
Nachukua pamba bling bling kwa chati
Na t-shirt ya black na jeans ya khaki
Na chini nina simple white tisheti za Nike Kisha mzee najipulizia marashi
Nanukia safi
Niko na machizi wa Chambers Squad na Darky
Tunawapigia simu Rich Coast wako wapi Tunakutana mitaa ya Chaga Bite
Asubuhi tunapata zetu supu kwa chapati Na mitungi ya kupotezea wakati
Ukitaka fegi mezani kuna pakti
Iwe Sport au SM au Embassy
Hapa utakula raha mpaka mwenyewe utasema basi
Tunakamua mpaka ile mida ya lanchi Tunaagiza ugali mkubwa na samaki Makamuzi yanaendelea mpaka night
Watu wanaingia graveyard kwanza kupata nyasi
Tunarudi kila mmoja anajisachi
Ni kiasi gani mfukoni kilichobaki
Kujicheki mi nina kama laki
Nikawaambia machizi kinachofuata mikasi

KIITIKIO
Mitungi, blanti, mikasi
Kama ukitaka kuvinjari nasi
Basi mfukoni mwako nawe uwe safi Mitungi, blanti, mikasi
Kama ukitaka kuvinjari nasi
Basi mfukoni mwako nawe uwe safi

UBETI WA PILI

Kulewa tushalewa kilichobaki mikasi Washikaji milupo tutapata wapi?
Milupo labda mitaa ya kati
So tunaenda vipi kwa miguu au kwa basi? Usiku huu bora tuchukue taxi
Poa basi tusipoteze wakati
Ks ks naita taxi
Njoo utupeleke mitaa ya kati
Tukacheki midudu ya kupiga mikasi Tuelewane kabisa itatucost shilingi ngapi? (Buku nne tuu)
Aah wapi!
Kwani hapa na pale ni umbali wa hatua ngapi?
(Si mnacheki wenyewe mko wangapi?) Usimind sana babake tuko safi
Tuchangeni tusipoteze wakati
Ludi eh kwani we una shilingi ngapi?
(Buku tano)
Venture? (bati)
Sasa wewe una bati usiku huu unaenda wapi?
Wakati hiyo bati hata soda tuu hupati
Bora uweke kesho unywee chai na chapati Asiye na kitu mi naona bora akabaki
Tusije mbele tukashikana mashati
Suka eh! tuanzie Masaki
Mchizi kapiga simu yani kuna bonge la party

KIITIKIO
Mitungi, blanti, mikasi
Kama ukitaka kuvinjari nasi
Basi mfukoni mwako nawe uwe safi Mitungi, blanti, mikasi
Kama ukitaka kuvinjari nasi
Basi mfukoni mwako nawe uwe safi

UBETI WA TATU.
Dereva funga brake tushafika kwenye party Eeeh bwana eh kumbe bonge la party Cheki mademu kibao utadhani kitchen party
Duh! cheki lile anti lililovaa skintight
Ee bwana eh! liko safi
Sio mchezo babake unaweza ukahonga laki
Aah wapi! mtu kama mi hanipati
Usawa wenyewe huu wa kulenga kwa manati
Haya basi tujichanganye katikati
Tukacheki mitungi na mademu wa mikasi Oh yeah, braza mwenye black unaitwa na yule anti
'Yuko wapi?'
Yule aliyevaa suti ya kaki
Aunty vipi?
Aah safi.
Samahani kwa kukupotezea wakati Nilikuwa naomba tuwe wote kwenye party Au unasemaje?
(Mi naona safi)
Samahani wewe anti ambaye umevaa shati
Hivi unaitwa nani eh?
Naitwa Bahati
Hivi Aunty nishawahi kukuona wapi?
Acha longolongo we sema una shilingi ngapi
Oyaa we'e vipi? mpango wako vipi?
Mbona mi mazee mpango wangu safi Ishakuwa usiku twenzetu tukachukue taxi
(Aha)
Twenzetu tukapige mikasi

KIITIKIO
Mitungi, blanti, mikasi Kama ukitaka kuvinjari nasi
Basi mfukoni mwako nawe uwe safi Mitungi, blanti, mikasi
Kama ukitaka kuvinjari nasi
Basi mfukoni mwako nawe uwe safi

Yeah, yeah, yeah, yeah
East Zu yo! holler
Bongo records Ngwair
Ee bwana eh
Niko around mazee
 
Hiyo lyrics yake tu ni kibongo unaisoma kama Hadithi vile,

Wasanii wa siku hizi uhandishi huu hawana kabisa
 
Leo nilikuwa zangu Gheto nimepumzika nikaona bora nipige playlist zangu mbili tatu za kitambo nikumbuke Enzi

Aiseee kama bahati hivi nikajikuta nimeitupia ngoma ya Ngwair na Mchizi Mox ya kuitwa Mikasi,
Eeeh bhana eeh nikaisikia mara ya kwanza, nikaireplay mara ya pili nikaona haitoshi nikaweka Na Repeat kabisa ikawa inajirudia rudia na Playlist yangu ikawa imekomea hapo

Wakati nipo naisikia hiyo Ngoma mashairi yake, Mdundo ulivyogongwa na producer P funk(majani), mixing yake ilivyo na Quality mpaka leo na vitu vingine vingi

Nikawa najiuliza hivi huyu Ngwair alikuwa na IQ ngapi maana sio kwa uandishi ule wa Ngoma (Ningekuwa prof: direct baadhi ya ngoma kama hizi ningewasilisha Andiko wizara ya elimu ziwe zinafundishwa shuleni kwenye Fasihi kama wanavyofundisha mashairi )

Nikajiuliza Producer aliyetengeneza beat (Mdundo) na kufanya mixing alikuwa na IQ ya ngapi?

Uandishi wa Ngoma hiyo ya Mikasi ni uandishi bora kabisa wa Mashairi ambao muandishi wake alitumia akili kubwa sana kuwaza,

"kwanza picha linaanza mshikaji anatusimulia kuanzia siku yake ilivyoanza yaani kuanzia anaamka, nguo anazovaa baada ya hapo, mawasiliano ya washikaji zake, kukutana kwenda club, matendo ya humo club mpaka kuondoka kwao"

Ni story yenye mpangilio ambao haimchoshi hadhira kusikiliza zaidi na zaidi huku akipata burudani,

Mgonga beat (mdundo) ndio aliua kabisa.

Kwangu hii ngoma ya mikasi ni kati ya Ngoma yangu bora ya muda wote ya club kutokea Hapa Bongo.

Hongera kwake Ngwair (R. I. P Muhasisi wa east Zoo, East Chambers), hongera kwako Mchizi mox, hongera kwako P Funk(majani) na wote waliokuwa Nyuma ya hii ngoma.

Cc Zero IQ
Kimyakimya ya Ngweir na J. Mo
 
Nyuma ya hii ngoma

hongera kwake Prof. Ludigo, ndiye maker wa ile 'beat' ya nyimbo nzima , majani ni ile scratch na beat ya mwanzoni kabisa lile nzito ( kwa Mikasi Remix ) na zile keyboard (vinanda) vyote

hongera kwake Soggy , alipiga drums
 
Back
Top Bottom