Haina Haja. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haina Haja.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chapa Nalo Jr, Dec 21, 2010.

 1. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 5,636
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280
  "Aaah!, yalaaa, sijui imekuwaje, yaani sikutambua kabisa, loh!, sikujua kabisa kuwa ko.n.d.om imepasuka ila nilihisi tu kama vile utamu umeongezeka, nikajikuta naongeza sipidi, sasa itakuwaje, eti mpenzi iweje!? ok hebu twenda tukanawe na maji chapu chapu" ( A Zuma`s Preventive Doctrine a.k.a Principle). Nimegundua kumbe hakuna haja ya kusumbuka na hayo mamipira ya c.o.ndo.m, cha muhimu ni kuwa na beseni la maji karibu.
   
 2. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  He!
   
 3. m

  mbweta JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  iga ufee
   
 4. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 817
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Wadanganye wajinga.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,561
  Likes Received: 10,037
  Trophy Points: 280
  kudadadadeki, si hujatahiriwa wewe!!! hiyo mbinu ya beseni inafanya kazi kwa wale tu waliotahiriwa
   
Loading...