Kwanini ziitwe vita za Dunia wakati nchi za America ya Kusini hazikushiriki na zipo Duniani?

Mheshimiwa mbona nimetumia kiswahili chepesi au ni vile wewe umezoea kingereza na kiswanglish!!?
Maslahi = Mambo au utaratibu unayoiletea faida za kiuchumi nchi au kikundi fulani cha watu au mtu mmoja-mmoja. Mfano China wana maslahi kwetu kwa kuwa sisi ni soko la bidhaa zao.
Koloni au Makoloni = Nchi zilizotawaliwa na nchi nyingine mfano Kenya ilikuwa koloni la Mwingereza, Brazil ilikuwa koloni la Ureno.
Brazilian Expeditionary Force - Wikipedia
Although Brazil remained neutral, this increasing cooperation with the Allies led the Brazilian government to announce at the Pan American States Conference in Rio, on 28 January 1942, its decision to sever diplomatic relations with Germany, Japan, and Italy.
As a result, from the end of January to July 1942, although no declaration of war yet existed between Germany and Brazil, German U-boats sank 13 Brazilian merchant vessels. In August 1942, U-507 alone sank five Brazilian vessels in two days, causing more than 600 deaths:[4]

On August 15, the Baependi, traveling from Salvador to Recife, was torpedoed at 19:12. Its 215 passengers and 55 crew members were lost.

At 21:03, U-507 torpedoed the Araraquara, also traveling from Salvador towards the north of the country. Of the 142 people on board, 131 died.

Seven hours after the second attack, U-507 attacked the Aníbal Benévolo. All 83 passengers died; of a crew of 71, four survived.

On August 17, close to the city of Vitória, the Itagiba was hit at 10:45, with a death toll of 36.

Another Brazilian ship, the Arará, traveling from Salvador to Santos, stopped to help the crippled Itagiba, but ended up as the fifth Brazilian victim of the German submarine, with a death toll of 20.

In all, 21 German and 2 Italian submarines caused the sinking of 36 Brazilian merchant ships involving 1,691 drownings and 1,079 other casualties. The sinkings were the reason that led the Brazilian government to declare war against the Axis.
 
Kuhusu Brazil kwenye Vita Kuu I na II angalia hitimisho kwenye makala husika za enwiki:

Vita Kuu ya Kwanza:
During World War I (1914–1918), Brazil initially adopted a neutral position, in accordance with the Hague Convention, in an attempt to maintain the markets for its export products, mainly coffee, latex and industrial manufactured items. However, following repeated sinking of Brazilian merchant ships by German submarines, President Venceslau Brás declared war against the Central Powers in 1917. Brazil was the only country in Latin America to be directly involved in the war. The major participation was the Brazilian Navy's patrol of areas of the Atlantic Ocean.

Vita Kuu ya Pili:
The Brazilian Expeditionary Force (Portuguese: Força Expedicionária Brasileira, FEB) consisted of about 25,900 men arranged by the army and air force to fight alongside the Allied forces in the Mediterranean Theatre of World War II. This air–land force consisted of (replacements included) a complete infantry division, a liaison flight, and a fighter squadron.[1]

It fought in Italy from September 1944 to May 1945, while the Brazilian Navy as well as the Air Force also acted in the Battle of the Atlantic from the middle of 1942 until the end of the war. During the almost eight months of its campaign, fighting at the Gothic Line and in the 1945 final offensive, the FEB took 20,573 Axis prisoners, consisting of two generals, 892 officers, and 19,679 other ranks. Brazil was the only independent South American country to send ground troops to fight overseas during the Second World War, losing 948 men killed in action across all three services.[2][1]
 
Mleta mada yuko sahihi, ile ilikuwa ni vita ya kikabila ya Mataifa ya Ulaya na ikisaidiwa na Makoloni yao! Waafrica hawakujua wamuue nani wamuache nani, waliamini Maboss wooote wanafanana! walijiuliza bila majibu, mbona hawa wakubwa zetu wanatwangana risasi kama walivo kuwa wanatuswaga utumwani?!

Waafrica walipofundishwa matumizi ya bunduki vitani waliuua hata Maboss wao kwa kujichanganya na kudhania ni maadui! ikabidi wapunguze idadi ya waafrica wawe wapishi jeshini. Africa yote haikushiriki kama nchi huru bali walishiriki kama watumwa tu, hawajui wana tetea masrahi ya nani, ndiyo kwanza walikuwa wanaugulia madhara ya Slave trade, ilyofanywa mfululizo miaka 400,

vita haikuwahusu wala kuijua, Wa africa wote baada ya utumwa wali tunzwa kwenye vishamba vya Wazungu vilivyopo Africa, ambavyo leo mnaviita nchi au Taifa, baada ya kuwa wameigawana huko Berlin, lengo la vishamba walitayarishwa ili wazlishe mali kwa manufaa ya viwanda vya Ulaya.

hata waafrica wote hawakuwa na Elimu ya kujua kuwa Africa yao imegawanywa kwa Slave Masters, hata mkutano wa Berlin hawakuitwa kushiriki, wala kuambiwa, kanchi ka Tanganyika tulikuwa jumla ya watu laki 5 tu wa pamoja na Rwanda burundi, Ramani hawakujua kusoma, walipotea kirahisi kwenye Battle field mpaka wanafika mahali wanatumiwa na adui tena.

Utapiganishaje vita na wanajeshi mbumbu? huoni kama unajiandaa kushindwa? hujui kuisoma ramani ya vita? hujui ku-charge, na karibu wote hawakupewa muda wa kutosha kujifunza mbinu za kivita? walitudanganya tu ili tuhararishe ushiriki wetu kukubaliana nao kuwa ilikuwa WW1. waongo wakubwa wale. Msikubali.

Kama ni siraha za ajabu hata sisi tulikuwa nazo ambazo hazijawahi kutumika kwa wakati huo, Mfano ulezi na maji siraha za Kinjekitile Ngw'ale, Majimaji war wenyewe walisalimu amri, Vita ya Ntabha Busiu kulee Kingdom of Lesotho alipigana na Makaburu kwa silaha pekeee Duniani. wakamkubali,

Mfalme Sobhuza na SHaka zulu walipigana vita ya kipekeee! siyo wazungu tu, hata sisi tulipigana vita ya silaha za kipekee! yenye mauza meengi. japo tulikuwa wachache sana tena tumechoka tokana na madhar ya biashara ya utumwa, Mkama Malumbo wa Musoma Alipigana vita, akawachanganya kwa kufunga na kushusha mlimani mapipa yenye Rami inayowaka pale Mlima Mukendo. akashinda vita!
 
Nisamehe kaka lakini historia hii hujaelewa bado. Vita kuu ya kwanza ilianza kama mapigano kati ya mataifa ya Ulaya (si makabila) lakini iliendelea haraka kuwa vita kati ya mataifa ya Ulaya, Asia ya Magharibi (Milki ya Osmani) na Amerika.

Usidhani Waafrika, kadri walivyoshiriki, kwa jumla hawakuelewa kitu. Hawakuwa wajinga. Walikuwepo sehemu walioona faida yao kupanda ngazi ya kijamii kwa kujiunga na jeshi la wakoloni, wengine walilazimishwa tu.

Umewahi kuwaangalia? Walikuwepo pande tatu: hao wa Schutztruppe wa Kijerumani, hao wa Kings African Rifles , hao wa Force Publique wa Kongo. Naona mfano wa hao upande wa Schutztruppe, walikuwepo wengine walioendelea kukutana kama wazee wa vikosi vyao miaka mingi baada ya vita. Wengine waliamua kuhamia upande wa Kings African Rifles.

Picha yako Waafrika "walitendewa tu" si kweli. Unataja biashara ya watumwa - basi isingeanza wala kuendelea bila kuendeshwa na watawala Waafrika. Wazungu (isipokuwa mifano michache ya kinyume) hawakuja Afrika Magharibi kukamata watu. Walikuja kununua watumwa kutoka watawala Waafrika walioendelea kukamata watumwa wengi zaidi baada ya kupata soko la nje.

Unasema kweli hasara upande wa Waafrika ilikuwa kiwango cha elimu, pia hali ya kuwaganyika kati yao.

Wakati wa vita kuu ya pili, Waafrika walijitolea kuwa wanajeshi wa UIngereza kwa sababu waliona faida - pia waliambiwa wanapigana na watu wabaya. Naona azimio lao lilitokana zaida na faida walizoona.
 
Wewe ndiye umenielewa zaidi, hawa wengine wanaendelea kukariri propaganda tulizofundinshwa shuleni. Ahsante!!
 
Mkuu baba uko sawa kuiita Vita ya Dunia kwa mtizamo wa kimagharibi, za kuambiwa mimi nilichanganya na zangu kifupi sababu kubwa ya vita ilikuwa ni km ifuatavyo uone sasa Africa imesimamia wapi,;

1. Utaifa-Nationalism, huu utaifa haukuwa kwa watu weusi, bali weupe tupu, ile kuamini kuwa Taifa langu ni Bora kuliko la mwingine, mfano kabila la kijermani Aryan walijiona bora sana kwa maguvu ya kijeshi, kiuchumi,kisiasa kuliko Makabila yeyote ya Ulaya, na waliamini wao ndiyo wameleta Maendeleo Ulaya, hawawezi kuwa Dhalili, wanastahiri kutawala Duniani.
siyo Africa hkn taifa lolote la africa lilikuwa tishio kwa Ulaya wakti huo.bali vijiji/ mashamba yao ya kulimia mazao, na malighafi, yaani tuliitwa Protectorate Land of Tanganyika. siyo Country!

2. Kuimarisha na kukita mizizi ya Ubepari na Ubwanyeye-Imperialism ktk Bara la Africa, Tamaa ya kuwa na Makoloni mengi Africa ilipaa, ambapo Ufaransa na UK walikuwa tayari wanatamba kuwa wamemiliki robo tatu ya Africa kutoka Cairo mpaka Cape of G/Hope. sasa unapigana ili mtu akunyonye? na ambaye bado anakunyonya, hakuheshimu tena unajua? Dharau iliyoje?

kumbuka hapo AFRICA watemi km kina mkwawa wamepigana kumpinga kwelikweli, na kibanga alisha mpiga Mkoloni ina maana waliwachukia walikuwa maadui wao, sasa unapigana kumsaidia adui yako? hiyo ni akili au Matope? hata wao watakuamini vipi kuwa una moyo kabla ya siraha?

Hiyo KAR ni ya humuhumu tu kulinda vijiji PROTECTRATE LAND. na Jerman anatamani Land yake mpaka kesho, ndiyo imeandikwa kwenye hati huko Vatican, Tanzania haiko Vatican, najua kuna wazee walikuwa na ofisi yao palee karibu na Fire! haihararishi kuwa walishiriki kwa uhuru!

Siraha kubwa waliyo tumia Wakoloni ni kuwanyima wa-Africa Elimu. na vita lazima uelimishwe tu! ina maana walibebwa tu bila kuhoji? kama watumwa tu walihoji Uhalali wao wa kupelekwa Utumwani! na kupigana wakiwa na Minyororo Miguuni, KM Kunta Kinte sembuse hao waliokuwa hawana Minyororo?

3. sababu nyingine Millitarism (army race) kupimana maguvu ya kijeshi kuwa nani ana nguvu kubwa kuliko mwingine. Mjermani alijiamini sana kwa hili. Africa haikufikiriwa kuwa na nguvu yeyote! Africa alikuwa km Mrembo anayepiganiwa anasubiri tu nani atashinda achukuliwe akalale naye! uongo?

4. Washirika -alliance, nchi za Ulaya zilijiunga katika ushirika mdogomdogo wa kulindana kijeshi, kisiasa na kiuchumi pia kibiashara mwaka 1882, kupitia umoja wao mfano Triple Alliance, kinara akiwa Mjermani
Usharika huu uliwaumiza sana na kuonekana tishio la wazi kwa UK, na Ufaransa na kujiona kama wametengwa, na wao wakaona ngoja waanzishe usharika wao maarufu kama Tripple Entente, Ushirika huu wa aina mbili tofauti ulisababisha misuguano ya kimasrahi mikali Barani Ulaya. Ma boss wako wanasuguana kwa mzozo ambao huujui. ivo Ulaya kukawepo Makundi mawili mahasimu

Nakuuliza Africa hapo ilikuwa na faida gani? Koloni la Ufaransa ndiyo ilikuwa na Askari wengi vitani kama 20000 tu, kati ya watu laki 2 waliokufa Bara la Afrika robo tatu ni njaa na magonjwa.

Ukweli ni kuwa utumwa tulianza sisi Africa, lkn kwa kujaliana na kuheshimiana, wengine walitunukiwa hata Utemi, Babu yake Mamangu yangu alikuwa Mtumwa na akapewa mke na kumiliki mali na Ngombe wengi mpaka leo wapo!

Wazungu wao walivuruga na kuwafanya km wanyama, walitoa ufadhiri wa siraha kwa watemi ili kukamata zaidi, na mwishowe hizo tawala nazo zika dhoofika vibaya, kiuchumi kwa sababu watu wenye nguvu wazalishaji walipelekwa utumwani, wengine wakatoroka Milki wote! wengine wakawapinga watemi wakorofi!

Wazungu sababu ya tamaa wakaanza kuwakamata watu wa Milki ya Watemi, hapo ndo sekeseke lilipoanza kuwa tata. hata watemi kutoaminiwa na wanoa walinda.

Kifupi Mkuu vita ya 1 na ya 2 ni genge la kikabila la Wahuni wa Ulaya Khazarians, waliokuwa wanatafuta Faida, na kulinda Masrahi yao binafsi Kupitia Population control, Propaganda za kijeshi, na

kweli mpaka leo hao waheshimiwa wako juu ya Sheria Duniani. vizazi mpaka vizazi, wana hati Milki ya Unyonyaji Duniani, wanachimba ardhini kila kitu chenye Thamani Duniani kote! Madini, Mafuta, thamani ya Fedha, Mabenki nk, hakuna wa kuhoji! kwanza hamuwajui! mtahoji nini? Wanaamua nani aongoze nchi gani Duniani na nani asiongoze, Mkuu ni familia kumi na tatu tuu!

Haiwezekani mpigane vita halafu uibe wataalamu mahasimu wakatengeneze siraha kwa adui! halafu mjishambulie tena! kwani hao wataalamu wa Adui unawaamini vipi kuwa chukua kirahisi ivo? rejea OPP.Paper Clip! huwaga nacheeeka sana mtu akisema www1 or 2.

hao sijui wa schutzetruppe mkuu siwajui labda unifungue kidogo!
 
Mkuu hongera, umefafanua vizuri na mimi binafsi naona wewe ni miongoni mwa wachache walionielewa. Humu Duniani vitu vingi havipo vile vinavyoonekana na kusemwa.
 
Kaka asante kwa jibu ila naona unachangnaya mambo mengi. Ukiulizia neno hili "Schutztruppe", tamka shuts-tru-pe, ilikuwa jeshi la kikoloni la Wajerumani ktk Afrika ya Mashariki, ujisomee zaidi hapa: Schutztruppe - Wikipedia, kamusi elezo huru
Kwa maana ya kijeshi lilikuwa jeshi la kufaulu sana, kwa maana ya kiutu ilikuwa balaa kubwa kwa watu wa maeneo walipopigania vita.
Ila hii kimsingi ni sawa na majemadari wengine wanaosifiwa, kama ni Mkwawa, Shaka Zulu au Mirambo, wote waliofaulu katika mambo yao kwa kusambaza kifo na uharibifu juu ya nchi. Au umwangalie Napoleon, Aleksander Mkuu na kadhalika.
 
Hii mada imenifurahisha hadi raha humu JF kuna vichwa.Huwa najiuliza vita ya tatu ya dunia ikipiganwa dunia itakuwa ya hali gani maana tehcnolojia imepanuka mno.Choko choko za Trump na Kim wa Korea Kaskazini zilikuwa zinaninyima usingizi
 
Hawa hawawezi kupigana wataishia hivyo-hivyo kwa maana japo wanachukiana lakini wanaogopana na kila mtu ana wapambe wenye nguvu nyuma yake.
 
Nakuwa mgumu kuamini kuwa Brazil na mataifa mengine ya America ya kusini eti yalikuwa yakisubiri mshindi apatikane wasimame upande wake (kama nimekuelewa vizuri), ikiwa hivyo basi ni kuwa hawakushiriki bali walikuwa watazamaji na wasilikizaji.
Acha Utoto!!! KUa sasa!!

Ndiyo tatizo la shule za kata!! Mzazi alishindwa akakupeleka shule ambazo zina waalimu wa UPE Tuuu! sasa huyo atakufundisha nini ndo kina shadrack gimakwi hawa Kibumaye one!!

kama watazamaji, wasikilizaji, sijui waambiwaji wapo na wanona, wanasikia ni wameshiriki pia! hao ndo kisababbishi.
Kuona, kujua kwao ni ushirika number moja! walikuwa waoga tu!!! huko kwenu Tarime si mnapigania wanawake kwani mwanamke anashiriki kupiga si anatazama tu!! mshindi ndo anachukulia mzigo huo!!

Hata swala, hayawani wooote Duniani!! jogo wa hapo kwenu ni nzuri kujifunzia! wakipigana mshindi ndo anakula mbunye za wale wotee! kundini.
 
Chief, pamoja na kunikashifu lakini sijakulelewa!!
 
Back
Top Bottom