Haikuwa rahisi

Ushahidi wawazi kwamba CCM,nikweli wameongoza nchi vizuri,hadi Professor wa uchumi katekwa,mmh nadhani kuna kijicheo kaka Kikwete atampa Bwana Haki!
 
sijaelewa post yako.what is the poin there make it clear
 
Aha kama kawa miji2 yenye kutekwa nakuhadaiwa na uwanamapinduzi,Umapinduzi wa kwanza uwe na mke n watoto then ndio uweze kuongoza nchi,Je Slaa kaoa au kabeba shangingi?,Tz hatupo tayari kuongozwa na sera YAKUCHAKACHUA WAKE ZA WATU?
 
aha kama kawa miji2 yenye kutekwa nakuhadaiwa na uwanamapinduzi,umapinduzi wa kwanza uwe na mke n watoto then ndio uweze kuongoza nchi,je slaa kaoa au kabeba shangingi?,tz hatupo tayari kuongozwa na sera yakuchakachua wake za watu?


Loh ! Huyu ni wa kum-delete kabisa account yake katika jamii forums hafai hata kidogo.Anaweza kusababisha vita
 
Back
Top Bottom