Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
Habari za valentine!
Wakuu kwa hii drama inayoendelea chuo kikuu kishiriki cha elimu DUCE hakikubaliki kabisa kwani kinaumiza na haiingii akilini kwa wahitimu wa mwaka 2016 kuhitajika warudi chuo kuanzia tarehe 14 mwezi huu hadi tarehe 14 mwezi wa 3 kwenda kusaini ada ya mwisho wa semista ya sita.
Inaumiza kiukweli hasa kwa vijana wengi waliomaliza mwakajana kukosa kazi za kuwaingizia kipato hivyo nauli kwao imekua mwiba!
Hapo hapo wanapigilia msumari eti usipoenda ndani ya muda muafaka pesa inarudi bodi na hivyo mwanafunzi unaonekana hujamaliza ada.
Haya makosa sio ya kutokea katika taasisi kubwa ya UDSM kama DUCE!
Hapo awali wanafunzi walisaini pesa ya ada kama kawaida na mpaka kufikia sasa kuna wanafunzi walishachukua vyeti vyao!
mkuu ndalichako hebu jaribu kupitia hapo DUCE utuondolee hawa watendaji maana ubabaishaji umewajaa na hawaangalii utu kabisa
Ni muda muafaka sasa ukaguzi kama ule uliofanywa kubaini vyuo visivyo na hadhi upite pia huku kwani DUCE inamambo mengi tu yasiyostahili kuwa chuo kikuu, status yake ni diploma!