Haijawahi kutokea arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haijawahi kutokea arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wikiliki, Jan 12, 2011.

 1. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  WANAJF tangu asubuhi nilikuwa ninafuatilia mazishi ya mashujaa wa kupigania uhuru wa kweli(HIVI NDIVYO WALIKUWA WANATAJWA WAKATI WA IBADA YA KUWAAGA) MAMBO YOTE YAMEENDA VIZURI KWA AMANI NA UTULIVU KABISA. POLISI WALIKUWA WACHACHE BILA SILAHA NA WALIKUWA NJE KABISA YA UWANJA. KILICHOSTAAJABISHA NI UMATI WA WATU WA KADA ZOTE WALIOJITOKEZA. KWA UKWELI KWA WALE WANAOUJUA UWANJA WA NMC HAUJWAHI KUJAA KAMA LEO BARABARA YA KUELEKEA UGA LTD,FRENDS CORNER NA ARUSHA-MERU ZILIJEUKA SEHEMU YA KIWANJA. NI AJABU NA KWELI. KUTHIBTISHA ANGALIA TV YAKO WAKATI WA HABARI.
   
 2. M

  Meshacky Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni dalili ya people's power
   
Loading...