PEA
Member
- Dec 31, 2010
- 77
- 33
Wote tunajua mambo ya ajabu yaliyofanywa na CCM wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2010 katika Jimbo la Njombe Magharibi. Baada ya kufanyiwa hujuma ndani ya CCM na baadae akigombea kwa Chadema Thomas Nyimbo aliamua kutokwenda mahakamani na badala yake aliamua kukata rufaa kwa wananchi.
Kwa ufupi CCM Njombe Magharibi iko taabani na ushahidi ni ofisi hii ambayo Mh.Nyimbo nbaada ya kufanikiwa kupata wanachama katika Wilaya nzima ya Njombe (Wanging'ombe) sasa amejenga ofisi hii ambayo sijapata kuiona katika Mikoa mingi iliyopiga hatua kimageuzi. Hii ni ofis ya Wilaya mpya ya Wanging'ombe