Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 719
Katika kipindi hiki kigumu kwa ccm chenye mashaka ya kutosha kurudi madarakani,ni rahisi kufikiri wanaweza kuwa nunua watu wowote katika kujaribu kudhoofisha nguvu za ukawa labda yamkini wafufue matumaini tena.Lakini hali ilivyo ni ngumu muno kuibadili.Watu wengi wenye ufahamu wa kawaida tu wana dhani nchi inahitaji mabadiliko.Magufuli hawezi kuletamabadiliko hayo katika mfumo mbovu namana hii.maana hali ilivyo ni kwamba kila furusa kwa nchi ina geuzwa kuwa dili za watu wenye mamlaka.Hata hiyo gesi ni vigumu kutusaidia chini ya ccm.Kwanza wazalishaji wa umeme wanamkataba wa kulipwa hata kama hawazalishi umeme.
Hivyo tafadhali akina Nyambabe msiturudishe nyuma Mungu ametoa nafasi hii kuwatoa hawajamaa.Msitake kuingia katika record ya kujaribu kuzuia kimbunga chenye kasi kwa mikono
Hivyo tafadhali akina Nyambabe msiturudishe nyuma Mungu ametoa nafasi hii kuwatoa hawajamaa.Msitake kuingia katika record ya kujaribu kuzuia kimbunga chenye kasi kwa mikono