Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,272
Mbona yule mwenyekiti wa ccm vijana, aliyekua anaongoza timu ya warusha mawe nimemuona kwa Kiriwe asubui amevaa kisuti kimembana?!
Nyege zinakusumbua wewe si bureChadema wanaigiza kuchoma ofisi motona kutupia magari Yaao wenyewe mawe kutafuta kura za huruma
Bila kukamata Ole Sabaya hao waliokamatwa waachiwe haraka sanaKale ka DC kanatakiwa kutolewa mara moja ka hovyo kabisa.
wale chadema waliokuwa na marungu mashoka na mapanga nao wasakwe wakamatweWale polisi walio act kama spectators badala ya kutimiza wajibu wao wa kulinda usalama wamechukuliwa hatua zipi?
Mkuu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti kamati ya ulinzi na usalama je?
Lile halikuwa tukio dogo.
Jeshi la polisi linatakiwa kutunza credibility yake, vinginevyo ni hatari sana kwa wananchi kuliona Jeshi la polisi kama kitengo ndani ya chama cha siasa kwa kuwalinda wengine na kuwapuuza wengine.
Sheria ni msumeno tunategemea kesi zote kuendeshwa kwa usawa bila kujali kazi ya mtu.
Lakini cha kushangaza huyo DC bado yupo kazini. Hii ni ishara tosha kuwa hii ni geresha tu.
Kwani hiyo ni kazi ya nani?wale chadema waliokuwa na marungu mashoka na mapanga nao wasakwe wakamatwe
Kale kajamaa keusi kanaboa sana aisee, nina imani kama alivyosema RPC, kulikuwa na mtu nyuma yao, basi katakuwa ni haka kajamaa sema tu anakwepesha kwepesha.Kale ka DC kanatakiwa kutolewa mara moja ka hovyo kabisa.
#Rubbish!Umeambiwa walikimblia Arusha ambako Godbless Lema ni Mbunge na kwao ni Hai Gari ya Lissu ilikotupiwa mawe
Ikumbukwe Arusha kwa Lema ndiko ofisi ya Chadema ilichomwa Moto.
Connect dots ni Nani alikuwa nyuma ya hao wachoma ofisi na kutupia mawe magari ya Lisu ili wapate kura za huruma na huruma ya kimataifa
Ina maana hatukujifunza wala hatujifunzi kwa kilichotokea Kenya!!Kwenye ile video clip nilimuana na kumsikia askari akisema si mlisema mnawamudu nendeni sasa. Hili jambo ni la aibu sana
Together TunawakilishaHome
Waliorusha Mawe kwenye mkutano wa Lissu wakamatwa
Jeshi la Polisi mkoani kilimanjaro limewakata watuhumiwa 12 wanaodaiwa kufanya vurugu za kushambulia kwa mawe, mkutano wa mgombea wa Kiti cha Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu Wilayani Hai Mkoani humo wakati akiendelea na zoezi lake la kutafuta wadhamini.
Taarifa hiyo imetolewa hii leo Agosti 23, 2020 na Kamanda wa Polisi mkoani humo ACP Emmanuel Lukula na kusema kuwa tukio hilo lilitokea Agosti 14 mwaka huu, ambapo katika mahojiano yao na vijana hao wamedai kuwa kulikuwa na mtu nyuma yao ambaye amekimbia.
"Tumetumia sana intelejensia ya Polisi ili kuwabaini hao watu waliofanya kitendo hicho cha aibu kubwa tumefanikiwa kuwapata 12, wengine tumewakamatia Arusha wanasema baada ya hilo tukio waliona kama wangerudi majumbani mwao wangekamatwa, tumewafuatilia kwa muda mrefu lakini tumeona tuwafuate walipo, mbaya zaidi wanatueleza kuwa kuna mtu aliyekuwepo nyuma yao na amekimbia" amesema Kamanda Lukula.
Aidha Kamanda Lukula ametoa angalizo na onyo kwa vijana, watakaotumika kisiasa kufanya vurugu katika mikutano mbalimbali ya vyama vya siasa mkoani kilimanjaro na kuwataka kuzingatia sheria za nchi kwa kufanya shughuli halali bila kutumiwa katika matukio
Huyu RPC siku ya tukio alisikika akisema vijana wa Chadema ndio walipiga nawe kwa vile Lissu hakutoa sera.
Tuna taka kusikia na wale polisi walio kuwa wana ruhusu warusha mawe waendelee nao wamekamatwa. Maana wana onekana kwenye clip.
Pia tuna taka kusikia Dc wa Hai hayupo kazini maana pasi na shaka yeye ndie aliwalipa wale vijana. Huu uongo uishe.
=========
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ACP Emmanuel Lukula amesema kuwa Jeshi la Polisi mkoani humo limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 12 wanaodaiwa kufanya vurugu za kushambulia kwa mawe, mkutano wa mgombea Urais wa chama cha upinzani Chadema Tundu Lissu Wilayani Hai siku za hivi karibuni.
"Tumetumia sana intelejensia ya Polisi ili kuwabaini hao watu waliofanya kitendo hicho cha aibu kubwa tumefanikiwa kuwapata 12, wengine tumewakamatia Arusha wanasema baada ya hilo tukio waliona kama wangerudi majumbani mwao wangekamatwa, tumewafuatilia kwa muda mrefu lakini tumeona tuwafuate walipo, mbaya zaidi wanatueleza kuwa kuna mtu aliyekuwepo nyuma yao na amekimbia" amesema Kamanda Lukula leo Agosti 23, 2020
Agosti 14 mwaka huu Lissu alikwenda Mkoani Arusha kusaka wadhamini ili kukidhi masharti ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama Sheria za Uchaguzi zinavyotaka, kuwa lazima upate wadhamini 200 kutoka mikoa 10 ya Tanzania.
Wakati Lissu na Msafara wake wanakaribia kufika kwenye Ofisi za Chama chake cha Chadema wilayani hai, alishambuliwa kwa mawe na genge la watu walioibuka ndani ya msafara huo.
Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter alitoa taarifa punde baada ya tukio hilo kuwa msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai
"Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame haribiwa. Mgombea Uraisi na Team yake wako salama. Polisi wako lakini wana shuhudia, mkutano umevunjika. Alisema Lema
Inasikitisha sana, hivi alishababu bado wapo??Hawa ni kudeal nao perpendicularly tu, wakifanya hivi na wanachama wa vyama pinzani nao wafanye vile, wataonewa mpaka lini over hawako katika ncho yao?
Ni kama wanachama wa chama flani wanamamlaka ya kufanya chochote bila kukamatwa wala kukemewa
That's bullshit