luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Kupitia taarifa ya habari ya ITV ya leo tareh 17 May202. Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kupitia ofisi zake za wilaya ya HAI zimethibitisha kiwanda kinachotengeneza kinywaji cha FARU JOHN ni halali.
Inasemwa eti aliyekuwa DC wa HAI alifunga kiwanda hicho akikituhumu kutoendesha shughuli za uzalishaji bila vibali.
My take:
Kosa hili ivi lina tofauti gani na kuhujumu uchumi wa nchi? Maana kama mamlaka ya serikal inayo simamia shughuli zote wametoa vibali vya mwekezaji sasa iweje mtu mmoja ana ibuka na kufunga kiwanda?
Je, mamlaka hii ya TRA awali wakati DC ana funga kiwanda Je mlimshauri DC juu ya maamuzi yake?