Kuna aina nyingi na majina mengi ya mafuta.Mafuta dar nanunua 38000 kwa lita 5 hiyo 22000 bei ya mwaka gani?
Eti anaanza kuleta news humu ili aonekane anaduda kazi.Mim nasubili kiti chake tu, hapa nipo napiga pasi sut zangu maana mama kashaandaa list tayari.
Mama kashaandaa vifaa vya kitumbulia anasubil mda ufikeEti anaanza kuleta news humu ili aonekane anaduda kazi
Nadhani ilpotea njia badala ya Tanzania imeenda Tasmania.Ile meli ya mafuta imefika wapi?
Sunflower oilKuna aina nyingi na majina mengi ya mafuta.
Hiyo bei ni ya mafuta aina gani?
Moshi kumbe bei nzuri bora tuagize hkoMafuta dar nanunua 38000 kwa lita 5 hiyo 22000 bei ya mwaka gani?
Inasubiri bandari ya Bagamoyo.Ile meli ya mafuta imefika wapi?