Hai and Kigoma Vijijini got to explain this!

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
Kwa mujibu wa tume ya Uchaguzi, Kikwete alishinda Jimbo la Hai na alipishana kwa nukta jimbo la Kigoma vijijini. Majimbo haya ni ya Freeman Mbowe na Zitto Kabwe.

Can anyone explain to me what happened? and how could Kikwete literally win majority votes in these constituences?
 
.
Sincerely no comment p/se!
 
Mchungaji.

Pole sana.

Nadhani unajua kuwa JK ni mahiri wa siasa za kukomoana. Alikuwa anamkomoa Mbowe kwa kukubali kumpisha mtu aliyekuwa anaitesa familia yake agombee urais kwa tiketi ya Chadema. Huyu si mwingine ni Slaa (PhD)

Alishajua ameshika kila kitu na anaweza kufanya lolote.

Hayo ni matusi kwamba hata angetaka wake za wagombea wa upinzani angewapata bila kipingamizi.

That is what I know. Vinginevyo, nina uhakika JK hawezi kuwa ameshinda Hai.
 
Rev kwani humjui JK na ccm yake,au unatafuta point ya kumsafisha?
 
Wala simsafishi, I would have thought kuwa huko asingepata hata kura, sasa inashangaza apate kura nyingi hivyo! Au kulichakachuliwa?
 
Au kulichakachuliwa?

Tafadhali uliza swali jingine, hilo jibu lake jaji Makame alishatoa.
 
mi sina shaka na kuchakachuliwa

kwa asilimia zote uchakachuaji ulifanyika nchi nzimakumpa JK ushindi wa KISHNDO:target:
 
Ilikuwa ni kazi ya usalama wa taifa iliyopanga Kikwete apate kura hizo katika majimbo hayo ili kumkosanisha DR. Slaa na viongozi wenzake. walidhani watamwaminisha kuwa Free na Zitto hawakusaidia vya kutosha bali walikuwa wanajipigania kivyao. UWT wanadhani tutadanganyika hata ktk hili. Hii thread ni tunda la mbinu hizo hizo tusizokubali.
You have to go back to your books!!
 
Rev Kishoka, mkuu naomba niweke hapa possibility kwamba ile sumu ya udini uliomwagwa na CCM inaweza ikawa pia ni factor, kwani huko Hai kuna waislam wa Machame na hata Kigoma waislam wengi. This could be a possible explanation.
 
Sioni cha kushangaza. Hata mwaka 2005 wakati Freeman Mbowe anagombea urais, Jakaya Kikwete alimshinda Mbowe kwa kura nyingi hapo kwake Hai. Kama Mbowe mwenyewe alishindwa na Kikwete kwake mwenyewe wakati wake usimlaumu kwa kushindwa kumfanya Slaa amshinde Kikwete wakati huu.
 
Kwa mujibu wa tume ya Uchaguzi, Kikwete alishinda Jimbo la Hai na alipishana kwa nukta jimbo la Kigoma vijijini. Majimbo haya ni ya Freeman Mbowe na Zitto Kabwe.

Can anyone explain to me what happened? and how could Kikwete literally win majority votes in these constituences?
Hata mwaka 2005 eti JK alimshinda Mbowe katika jimbo la Hai? Hiyo inaweza kuaminiwa na wachakachuaji tu ukweli ni kwamba hizo kura zimechezewa.
 
Kwa mujibu wa tume ya Uchaguzi, Kikwete alishinda Jimbo la Hai na alipishana kwa nukta jimbo la Kigoma vijijini. Majimbo haya ni ya Freeman Mbowe na Zitto Kabwe.

Can anyone explain to me what happened? and how could Kikwete literally win majority votes in these constituences?

REV KISHOKA USISHANGAE HATA IRINGA MJINI HUKO KIGOMA ZITTO ALISHAWAHI KUMTAMKIA JK NCHI YA TZ TOKA ITAWALIKE HAIJAWAHI KUPATA MAENDELEO KAMA WAKATI WA JK
NA HAI KWELI HAMWAJUI SI WATU WA SLAA ILA NI WA CHADEMA kuna mmoja kazungumzia UDINI NA UKABILA
SLAA MWENYEWE KWA MWAKYEMBE ALIAHIDIWA KUPEWA LAKINI ASIOMBE ZA UBUMGE LEO MUAMINI NIKIPIGA KURA YA DIWANI SI LAZIMA NIMPE MBUNGE WAKO NA RAIS WA CHAMA CHANGU HAKUNA KUCHAKACHUKA IRINGA MJINI HAI NA KIGOMA VIJIJINI HAO WABUNGE SI WAJINGA KUNYAMAZA NA BADO WATAPATANA KWENYE MASLAHI KULIKO WABUNGE WA KENYA MPAKA TUNYAMAZE SISI WAPIGA TUNAOPARURANA WENZETU WANASHIBA
 
I beg to differ na mjority kuhusiana na uchakachuaji. Dr Slaa hakuwa na moral high ground za kupewa nchi. Wananchi waling'amua hilo.
 
Back
Top Bottom