hahahahhahahaa kwa nini????

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,831
1,707
wanawapa wanaogombea umiss Tanzania maswali magumu hivyo jamani....no wonder wadada wa watu wameambulia patupu......wangeuliza kama bendera ya tanzania ina rangi ngapi zinapresent nini?LOL
 
kwakweli wengine wamepewa maswali ya kawaida 2 nawanaenda off track...................kweli kazi yao ni umiss
 
kwakweli wengine wamepewa maswali ya kawaida 2 nawanaenda off track...................kweli kazi yao ni umiss

mikataba labda kwako ndio kawaida,yale maswali hata mie ningechemsha mambo ya vita vya wenyewe mie nitayajulia wapi lol
 
mi bado naomboleza msiba wa taifa uliotokea pemba

kwa mambo ya umiss mkuu vipi huyo salha israel ni miss wa wapi..
 
Vichwa nazi. Hawana kitu, wanawaza kuonyesha maungo yao mbele ya kadamnas. Upuuzi mtupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom