Hahahahaha Jamaa katisha huku,hebu na nyie chekeni

Philip Dominick

JF-Expert Member
May 26, 2013
1,021
189
eti ukimuona Mwanaume wa
Kitanzania anamfungulia mlango wa
gari mwanamke ujue huo mlango
mbovu. Hahahaha dah aisee hatupo
Romantic kabisa...Ndio maana
vitanda vyetu tunavibana ukutani.
tunaogopa watatoroka!!!!! mbona
hatuweki vitanda katikati ya chumba
kama wazungu?
 
Kwan ni lazma 2fanane na huyo mzungu!......2ache ujinga wa kuwa2kuza hao mandezi!!!


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom