Hivi hiki kibabu kilitokeaga wapi? Nimekijua baada ya PM wa ukweli Lowassa kujiuzuru ili kulinda heshima yake. Au kilikua kiganga cha kienyeji toka kule Sumbawanga kinacho tumia viungo vya albino kufanikisha mambo?:hatari:?
Na waziri mkuu dhaifu kuliko wote waliowahi kutokea Tanzania
Na waziri mkuu dhaifu kuliko wote waliowahi kutokea Tanzania
Au inawezekana ikawa geresha pia, hatuwezi jua hii picha ina tafsiri nyingi mnoOr maybe maumivu ya TD