Hahahaaa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,754
IMG-20170102-WA0030.jpg
 
Mchoyo hana rafiki!

Muulize hata faru nani yule

alikuwa dume peke yake kuleeeee

Kilichompata?
 
Hahahaha yeye alichukua kubwaa mmoja akapewa kidogo mwingine akapewa mfupa hahaha mwishowe hata mkataba waliuchana.

Hahahahaaaa yaani hadi kesho huwa napenda kuangalia cartoons. Huo ugomvi wake sasa hahahahahahahaha mtunzi wake Fred Quimby sijui alikuwa anawaza nini.....
 
Sipati picha Kasie akiangalia katuni remote mkononi
 
Hahahahahhaaa yaani huwa nacheka mwanzo mwisho, as my avatar and signature says....... natabasamu bin kucheka muda wote.
Ila sio katuni za Ben ten noop hii ya dot com. Zile za enzi zetu kina bugs bunny and daffy.
Tin tin
Power puff girls
The musk
Tazmania
Scobie doo
Road runner
Nyingine nimesahau majina.
 
Duuuu
 
Eeeuuu uuhioo?? Wathekanii??

Shigha nikuvwire, wakati nasoma lomwe kuna mwanafunzi mmoja akaandikiwa kwenye daftari lake na Mwalimu, see me. Yeye akachukua peni akaongezea O pale kwenye me na ikawa inasomeka See Meo...... hehehehehee

Nakutii wamanya chathuu ...!!?? Hehehehehehe
 
nethimanje kiviiiilee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom