hahahaaa,njia ya kujua simu ya kichina

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
1,Betri inajaa baada ya
dakika tatu,

2. Ina TV, tochi, mswaki,
kiberiti cha sigara,

3. Ndege ikipita, simu
inaandika 1 MISSED CALL

4. Ukiwa karibu na jiko,
inaandika CHARGER
CONNECTED na

5. Ukipita karibu na
mchina, inaonyesha NEW
DEVICE FOUND....!


 
Nasikia hata yakipita malori makubwa kama ya Strabag inaandika CHARGER CONNECTED
 
Ukipita karibu na mwanamke mwenye mimba mtoto anacheza tumboni!
 
Back
Top Bottom