Hahaha wazee wa msokoto

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,531
825e5a5efa5f50feea9eecd6c1fa4f35.jpg
 
Bangi ya kuvuta huku unajishitukia kukamatwa
Ni mbaya sana ndiyo maana
Ukiangalia baadhi ya wavutaji
Huwa hawajiamini kabisa
sio wote bana....labda inakutokea wewe...na nahisi unajifunza kuvuta "kaya" ....mmokaji sugu hagwayi chochote.....
 
Bangi yenye raha vuta kwa uhuru
Zaidi tena ukiwa huna stress sijui
Leo utakula nini utapata wapi pesa ukiwa msafi wa mwili mbona utaufurahia mmea wa utambuzi sasa wewe unavuta kama mwizi vichochoro wenzio nyumbani tena hadharani bila kubughuziwa na mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom