Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaa! Msimu wa hayo mazao ukiisha ataweka nini?
me najifikiria ukifika msimu wa upupu itakuwajeHahahaaaaa! Msimu wa hayo mazao ukiisha ataweka nini?
Ndo shida ya kukulia dasalama. Mtu alowahi pitia maisha ya kijiji hawezi uliza hiviHahahahahahhaha inamaana hawa jamaa ukishashusha kubwa unachambia gunzi au mimi cjaelewa hahahahha.
Ndo shida ya kukulia dasalama. Mtu alowahi pitia maisha ya kijiji hawezi uliza hivi
Mi' nilikuwa sijaielewa vizuri hii picha ujue!Hahahaaaaa! Msimu wa hayo mazao ukiisha ataweka nini?
Magazeti ya chamaHahahaaaaa! Msimu wa hayo mazao ukiisha ataweka nini?