Hahah ishawahi kukuta hii?!

Nokchuno

Senior Member
Jun 25, 2016
101
94
Ushawahi kwenda kwa hoteli kunywa chai na chapati na uko na 1000 tu

Kidogo ukaanza kunywa unaona 1000 ingine chini unaikanyaga unaagiza tena chai na chapati

Ukamaliza ukaenda kulipa kumbe ile 1000 uliokota ni yako ilikuwa imeanguka
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom