Nokchuno Senior Member Jun 25, 2016 101 94 Nov 25, 2016 #1 Ushawahi kwenda kwa hoteli kunywa chai na chapati na uko na 1000 tu Kidogo ukaanza kunywa unaona 1000 ingine chini unaikanyaga unaagiza tena chai na chapati Ukamaliza ukaenda kulipa kumbe ile 1000 uliokota ni yako ilikuwa imeanguka
Ushawahi kwenda kwa hoteli kunywa chai na chapati na uko na 1000 tu Kidogo ukaanza kunywa unaona 1000 ingine chini unaikanyaga unaagiza tena chai na chapati Ukamaliza ukaenda kulipa kumbe ile 1000 uliokota ni yako ilikuwa imeanguka
Njopino JF-Expert Member Apr 8, 2014 3,470 5,050 Nov 26, 2016 #2 Hapo ndo utajua kwanini muuza kahawa anatembea na chombo cha moto lakini hana leseni
Goodluck TZ JF-Expert Member Oct 24, 2015 1,448 657 Nov 26, 2016 #3 Njopino said: Hapo ndo utajua kwanini muuza kahawa anatembea na chombo cha moto lakini hana leseni Click to expand... HAHAHA
Njopino said: Hapo ndo utajua kwanini muuza kahawa anatembea na chombo cha moto lakini hana leseni Click to expand... HAHAHA
kadagala1 JF-Expert Member Nov 23, 2016 5,941 6,213 Nov 26, 2016 #5 Njopino said: Hapo ndo utajua kwanini muuza kahawa anatembea na chombo cha moto lakini hana leseni Click to expand... Hahaha
Njopino said: Hapo ndo utajua kwanini muuza kahawa anatembea na chombo cha moto lakini hana leseni Click to expand... Hahaha
Aishah2016 JF-Expert Member Jun 11, 2016 2,225 2,482 Nov 29, 2016 #10 Hahaha ningeenda directly kuosha vyombo