hahaaahah, mimi nimecheka sana hii picha na ww angalia kama utavutiwa

prakatatumba

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
1,328
190
sema ww
 

Attachments

  • ronaldo.jpg
    ronaldo.jpg
    17.8 KB · Views: 315
Kwwii kwiiiikwiii.....wamemkomesha...mkuu kwani real wameshinda ngapi?? Nipe ya Chelsea vs Arsenal...nilikuwa bush sifahamu lolote....

umeweza kuingia jf si u2mie ze same method kuangalia matokeo ya hzo mechi.
 
umeweza kuingia jf si u2mie ze same method kuangalia matokeo ya hzo mechi.

acha undundu wewe kwani mtu akiomba umpe glass ya maji, yeye anakuwa ni lazima hana miguu, mikono au macho? kama unaweza kumpa jibu mpe kama huna kaa kimya!!
 
Back
Top Bottom