haha.. Haaa.. C dis!

Haroun jotham

Member
Dec 1, 2011
49
2
kunamschana flan unamfukuzia kwa mda mrefu kwel bila mafanikio.. Na mnakaa nyumba1 ambayo wote mmepanga! Na unampenda kuliko k2 chochote! Bt at end anaelekea kukubal... 1day ulbanwa na aja ndogo.ulvo enda toilet kujisaidia ukakuta bonge la aja kubwa pmbn. so ukaona so ishu bora kusepa hata bla kujisaidia! Ile tm unatoka 2 pale mlngon,, nae ule mschana unaemkubal ndo anaingia *mnapishana mlangon* so wat u can du... Or utafanyaje il ajue ule mzgo so wako
 
waungwana wanasema ukiingia chooni na ukakikuta kichafu kiweke sawa kwakuwa atayefuatia hatajua kama kadhia ile cyako
 
we endelea tu na ratiba zako akikuuliza si unakataa kuwa kuwa si lako...kwani umelipiga signature yako?
 
unarudi ndani, unakunya sehemu ingine pembeni juu, ili ijulikane ni watu wawili tofauti wamefanya hayo.
Maelezo yatafuata baadaye.
 
Back
Top Bottom