Haroun jotham
Member
- Dec 1, 2011
- 49
- 2
kunamschana flan unamfukuzia kwa mda mrefu kwel bila mafanikio.. Na mnakaa nyumba1 ambayo wote mmepanga! Na unampenda kuliko k2 chochote! Bt at end anaelekea kukubal... 1day ulbanwa na aja ndogo.ulvo enda toilet kujisaidia ukakuta bonge la aja kubwa pmbn. so ukaona so ishu bora kusepa hata bla kujisaidia! Ile tm unatoka 2 pale mlngon,, nae ule mschana unaemkubal ndo anaingia *mnapishana mlangon* so wat u can du... Or utafanyaje il ajue ule mzgo so wako