Hagia Sophia: Jengo linaloleta mtafaruku kati ya Uturuki na jamii ya kimataifa

Sijawaunga mkono wanaoitetea wala kuikosoa Uturuki. Nimeweka sawa tu historia kama ilivyo.
Mkuu ukijaribu kuisoma moment yangu hata mm ninapinga unafiki.
Hao hao wanao ikosoa Uturuki ndani ya mataifa yao kuna misikiti mingi imegeuzwa na kuwa makanisa kwa nguvu na kakuna anaye ongea.
 
Lakini pamoja na hayo yote yaliyo fanywa na huyo atatuku ili kujaribu kuitenga uturuki na uislamu ,hakuna alicho ambulia zaidi ya yeye kufa na kuiacha Uturuki na uislamu wake,na kwa sasa uislamu inarudi kwa kasi sana ndani uturuki.
Alafu mkuu usitulishe matango pori msingi wa maendeleo ya Uturuki sio Atatuku,Uturuki maendeleo yake ya kiviwanda imeanza kuyapata miaka ya 90 na yakashika kasi miaka ya 2000 baada ya chama cha kina Odorgan kinacho engemea uislamu kushika mamlaka, hata vyombo vya habari vya kimagharibi vina kili hilo licha ya kuwa wana mchukia Edorgan.
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia ya kwamba Atatuku asinge itenga dini na serikali Uturuki isingekuwa na mapendeleo iliyo kuwa nayo sasa hivi?
Hivi mkuu twende polepole maana kwa post yako hapo unataka kutuaminisha ya kwamba dini ni kikwazo cha maendeleo nchi yeyote duniani.
Ukijaribu kuangalia hakuna nchi yeyote Afrika inayo ongozwa kidini lakini ndio bara lililo jaa shida upumbavu,njaa umasikini nauchafu wa kila aina.
Dini ingekuwa kikwazo cha maendeleo basi nchi za kiafrika zingetakiwa ziwe na maendeleo makubwa kuzizidi nchi kama Indonesia, Malaysia,Qtaar,UAE,Saidia arabia, Iran,Oman ambazo kimsingi siasa zao zinaenda sambamba na dini yao.
Mkuu hoja yako nimeikataa na sintokuja kuikubali kamwe.
Hakuna sehemu Atatürk aliitenga Uturuki na uislamu, alichokifanya ni kutenganisha mamlaka ya kidini na serikali "secularism". Sio mambo ya Iran eti Ayatollah (kiongozi wa dini) ndiye kiongozi wa nchi kisha rais ana mamlaka ya serikali.

Uislamu wa Uturuki ni tofauti sana na uislamu wa majirani zake, nchi bado iko secular kama alivyoiacha Atatürk, na hakuna Mturuki ana akili za matope za kutaka serikali ya kidini. Wote wako civilized. Ndiyo maana miaka yote utawaona wanavaa suti bungeni na kwenye state visits, hutakaa uone wanavaa makanzu yale ya Wasaudi na Wairan. Ndo maana wana textile manufacturing industry kubwa mno.

Unasema alikufa akaiacha, kwani nani aliumbwa aishi milele? Au unadhani alikuwa hajui kwamba atakufa (hiki kitu ndo baadhi ya Waarabu wajinga usisitiza utadhani wao hawafi).

Kama unataka kusema Uturuki ilianza industrial modernization miaka ya 1990s basi unakosea labda uwe unasema specifically industries gani. Waturuki walianza viwanda muda mrefu kabla ya huo uliosema.
Na kama unadai Erdogan ndiye kaleta maendeleo ya viwanda simply nikujibu hivi hujui ulisemalo. Ni sawa na mtu aje hapa akwambie eti Xi Jingpin ndo kaleta maendeleo ya viwanda China wakati kaikuta sector na kuiendeleza.

NB: Uturuki aliyoanzisha Atatürk ndiyo hii Uturuki anayoongoza Erdogan. Waturuki wanamkubali baba wao wa taifa mpaka wanapitiliza, sasa sijui hutaki nini?
 
Mkuu ukijaribu kuisoma moment yangu hata mm ninapinga unafiki.
Hao hao wanao ikosoa Uturuki ndani ya mataifa yao kuna misikiti mingi imegeuzwa na kuwa makanisa kwa nguvu na kakuna anaye ongea.
Naaam!!
 
"..... kufa na kuiacha Uturuki na uislamu wake, na kwa sasa uislamu inarudi kwa kasi sana ndani uturuki..."
Mkuu RTI huo uislamu unaorudi Uturuki unarudi kutokea wapi? Kwani lini Uturuki iliwahi kuacha uislamu. Uislamu ndani ya Uturuki haukui wala haurudi kwa maana ulikuwepo. Ni sawa na kumwabia Masanja kuwa anazidi kuwa Msukuma, utadhani kuna muda aliwahi kuwa Mhehe.
 
Kumbe masanja n msukuma eeh
 
Kiuhalisia hakuna Taifa la Israel.
Taifa hilo limeanzishwa 1948.
Dah! Kweli huu ni upofu na ujinga wa kihistoria.
Kwa sababu nina muda kidogo acha nikupe darsa.
1. Israeli imekuwapo hapo mashariki ya kati kwa maelfu ya miaka. Historia inasoma hivyo na kila mwaka wana akeolojia wanachimbua mabaki ya dola ya kale ya kiyahudi.

Ukienda katika historia na akeolojia utakuta dola ya Kiyahudi na wafalme wake, lugha yao na fedha zao. Na artifact nyingi, ushahidi wa kuwepo kwao na umiliki wao.

Ukiweza kuleta ushahidi wa kuwepo dola ya wapalestina, lugha ya wapalestina, wafalme wa kipalestina au artifacts za kale zinazoonesha uwepo wa watu walioitwa wapalestina, then utakuwa sahihi. Ukweli ni kwamba hakujawahi kuwepo hilo taifa wala hao watu.

Wengi hamjui hata kuwa eneo ambalo warumi walilibadili jina toka Yudea na Samaria na kuwa Palestina lilikuwa ni makazi ya Wayahudi na warumi walifanya hivyo kuondia kumbukumbu yao kabisa kwa sababu ya hasara waliyopata kivita.

Kwa hiyo Wayahudi sio wavamizi wa ardhi ya wapalestina kwa kuwa kihistoria hakuna watu wanaoitwa wapalestina. Hawa wapalestina wa leo wana mataifa yao ya asili. Tunajua kwa mfano Yasser Arafat alikuwa ni Mmisri na Abu Mazen ni wa Jordan. Haya yako wazi kwa anayetaka kujua. Ila ukikomaa na stori za kidini, itabidi ufumbie macho historia
 
Kwamba Wapagani waliitumia iko wazi na wewe unakubali. Tatizo ni pale unaposema kwamba Kaaba ilijengwa na Ibrahimu. Hatuna ushahidi wa kihistoria. Hapo ndio shida ilipo. Mimi sihitaji kuleta proof yoyote maana claim yangu ni rahisi tu: Muhammad alizaliwa akaikuta Kaaba iko kwa wapagani. Yeye akasema kuwa amepewa ufunuo kuwa ilijengwa na Ibrahimu. Sasa kuamini au kutokuamini huu ufunuo ni suala la mtu binafsi. Lakini huu ufunuo bado sio ushahidi kwamba Ibrahimu alijenga kaaba.

Lakini ukienda mbele zaidi hata kijografia, alipoishi Ibrahim na Mecca ni mbali sana. Angalia kwenye ramani yako. Na hatuna ushahidi kuwa Ibrahimu aliwahi kuhama toka Uru mpaka Mecca!
Kwamba wao kutumia hilo jengo sio ushahidi wa wao kuwa ndio waliojenga kama ilivokuwa sio ushahidi kama waislam walijenga Hagia Sofia kwa sababu sasa ivi wanaswali mle.

Ushahidi wa Ibrahim kuwa aliishi Uru uko wap?
 
711-1492 Uislamu ulitamalaki Spain katika vipindi tofauti , nenda kasome dola la ANDALUSIA (Southern Spain) itakusaidia sana
Kilicho fanyika spain ni kama kilicho fanyika Constantinople,Ulifajyika uvamizi wa ma-sultan na kuweka mfumo wao wa kidini(uislam).
Baadae Christian walipambana kurudisha miji yao,ndio maana miji kama Cordoba ndio imebaki na waislam wengi.(Niliwahi kuangalia Documentary Aljazeera inaelezea inaongelea haya mambo).
Ila Architect iliyofanyika Hagiasophia ni next level,pamoja na kutumika kama msikiti zile picha za zinazotumika kwenye madhehebu ya kikristo hazikufutwa.
 
Watu wengi sana, hasa walio katika dini wamemezeshwa mambo tu. Hata issue za kihistoria watapinga tu, maadam haziendani na official narrative ya dini husika. Nadhani iwe lazima kwa dini zote kufundisha historia. Itasaidia sana kufuta ujinga na ubishi usio na msingi...
Of course, history na theology ni muhimu sana katika kuwasaidia watu kufuta ujinga katika dini. Ukishasoma theology, wala huwezi kupata shida na kuleta mabishano au chuki za kijinga zinazohusiana na dini
 
Ume comment kwa kifupi sana but very clear. Kubugia mafundisho ya dini bila theology ni sawa na mtu mwenye lishe duni kushindia bangi.
 
Kilicho fanyika spain ni kama kilicho fanyika Constantinople,Ulifajyika uvamizi wa ma-sultan na kuweka mfumo wao wa kidini(uislam).
Baadae Christian walipambana kurudisha miji yao,ndio maana miji kama Cordoba ndio imebaki na waislam wengi.(Niliwahi kuangalia Documentary Aljazeera inaelezea inaongelea haya mambo).
Ila Architect iliyofanyika Hagiasophia ni next level,pamoja na kutumika kama msikiti zile picha za zinazotumika kwenye madhehebu ya kikristo hazikufutwa.
Spain haikuwa ya wakristo pia toka mwanzo , ni mchezo ule ule wa kuzidiana ujanja na kusimika utawala wako
 
Hakuna sehemu Atatürk aliitenga Uturuki na uislamu, alichokifanya ni kutenganisha mamlaka ya kidini na serikali "secularism". Sio mambo ya Iran eti Ayatollah (kiongozi wa dini) ndiye kiongozi wa nchi kisha rais ana mamlaka ya serikali.

Uislamu wa Uturuki ni tofauti sana na uislamu wa majirani zake, nchi bado iko secular kama alivyoiacha Atatürk, na hakuna Mturuki ana akili za matope za kutaka serikali ya kidini. Wote wako civilized. Ndiyo maana miaka yote utawaona wanavaa suti bungeni na kwenye state visits, hutakaa uone wanavaa makanzu yale ya Wasaudi na Wairan. Ndo maana wana textile manufacturing industry kubwa mno.

Unasema alikufa akaiacha, kwani nani aliumbwa aishi milele? Au unadhani alikuwa hajui kwamba atakufa (hiki kitu ndo baadhi ya Waarabu wajinga usisitiza utadhani wao hawafi).

Kama unataka kusema Uturuki ilianza industrial modernization miaka ya 1990s basi unakosea labda uwe unasema specifically industries gani. Waturuki walianza viwanda muda mrefu kabla ya huo uliosema.
Na kama unadai Erdogan ndiye kaleta maendeleo ya viwanda simply nikujibu hivi hujui ulisemalo. Ni sawa na mtu aje hapa akwambie eti Xi Jingpin ndo kaleta maendeleo ya viwanda China wakati kaikuta sector na kuiendeleza.

NB: Uturuki aliyoanzisha Atatürk ndiyo hii Uturuki anayoongoza Erdogan. Waturuki wanamkubali baba wao wa taifa mpaka wanapitiliza, sasa sijui hutaki nini?
Mkuu unatumia nguvu nyingi sana katika hoja ndogo kama hii na ambayo iko wazi kabisa.
Baada ya Atatuku kushika madaraka unajua ni viongozi wangapi wa kidini waliuawa ,kufungwa na kutoroka nchi?
kama hakutaka kuitenga na uislamu kwanini afunge misikiti kwa nn afunge shule za kidini ,kwann akataze wanawake kuvaa hijabu?
Kuhusu kuvaa suti kwani hujui kanzu ni vazi la kiasili kwa waarabu na jamii nyingi za mashariki ya kati hilo haliitaji elimu kubwa kulijua hilo.
Kuhusu uislamu kurudi ndani ya Uturuki ninacho maanisha ni kwamba kwa miaka mingi Uturuki imekuwa ikifuata uislamu wa kimagharibi ambao kimsingi Qruan haiutambui hata kidogo, lakini miaka ya hivi karibuni uislamu halisi alio jaribu kuua Atatuku umeanza kurudi ndani ya Uturuki huwezi kulinganisha uislamu wa Uturuki miaka ya 70 na 80 alafu ukilinganisha na wasasa hivi.
Sasa hivi ukojaribu kuangalia maamuzi ya serikali ya sasa ya Uturuki ni maamuzi ambayo yanaegemea upande wa kidini na matakwa ya waislamu ninacho maanisha ni kwamba sasa hivi dini ina nguvu sana kuamua uturuki iendeshweje ukilinganisha na zamani.
Alafu umenichekesha pale uliposema eti kuvaa suti kwa wabunge wa uturuki ndio sababu ya maendeleo iliyo nayo sasa sikutegemea mtu kama ww kuwa na fikira mgando namna hii.
Hivi nchi yako ambapo wabunge wake wana vaa suti wana maendeleo gani kuzizidi Iran na Saudia wanao vaa kanzu?
 
"..... kufa na kuiacha Uturuki na uislamu wake, na kwa sasa uislamu inarudi kwa kasi sana ndani uturuki..."
Mkuu RTI huo uislamu unaorudi Uturuki unarudi kutokea wapi? Kwani lini Uturuki iliwahi kuacha uislamu. Uislamu ndani ya Uturuki haukui wala haurudi kwa maana ulikuwepo. Ni sawa na kumwabia Masanja kuwa anazidi kuwa Msukuma, utadhani kuna muda aliwahi kuwa Mhehe.
Mkuu alichojaribu kukifanya Atatuku ni kuuwa uislamu halisi na kuleta uislam wa kimagharibi kitu ambacho kimsingi kimeanza kuferi kwa sasa.
Uturuki ya sasa hivi imebadilika mno hilo halihitaji jicho la tatu kulijua hilo kuanzia kisera,kisheria na kimtazamo kwa mtu mmoja mmoja ndani ya Uturuki.
Kwa sasa dini ina nguvu sana ndani ya Uturuki ukubali ukatae.
 
Swali, is Turkey a secular or non-secural state?
Ili tujue huo Uislamu unaorudi unarudi kutokea wapi.
 
Mkuu unatumia nguvu nyingi sana katika hoja ndogo kama hii na ambayo iko wazi kabisa.
Baada ya Atatuku kushika madaraka unajua ni viongozi wangapi wa kidini waliuawa ,kufungwa na kutoroka nchi?
kama hakutaka kuitenga na uislamu kwanini afunge misikiti kwa nn afunge shule za kidini ,kwann akataze wanawake kuvaa hijabu?
Kuhusu kuvaa suti kwani hujui kanzu ni vazi la kiasili kwa waarabu na jamii nyingi za mashariki ya kati hilo haliitaji elimu kubwa kulijua hilo.
Kuhusu uislamu kurudi ndani ya Uturuki ninacho maanisha ni kwamba kwa miaka mingi Uturuki imekuwa ikifuata uislamu wa kimagharibi ambao kimsingi Qruan haiutambui hata kidogo, lakini miaka ya hivi karibuni uislamu halisi alio jaribu kuua Atatuku umeanza kurudi ndani ya Uturuki huwezi kulinganisha uislamu wa Uturuki miaka ya 70 na 80 alafu ukilinganisha na wasasa hivi.
Sasa hivi ukojaribu kuangalia maamuzi ya serikali ya sasa ya Uturuki ni maamuzi ambayo yanaegemea upande wa kidini na matakwa ya waislamu ninacho maanisha ni kwamba sasa hivi dini ina nguvu sana kuamua uturuki iendeshweje ukilinganisha na zamani.
Alafu umenichekesha pale uliposema eti kuvaa suti kwa wabunge wa uturuki ndio sababu ya maendeleo iliyo nayo sasa sikutegemea mtu kama ww kuwa na fikira mgando namna hii.
Hivi nchi yako ambapo wabunge wake wana vaa suti wana maendeleo gani kuzizidi Iran na Saudia wanao vaa kanzu?
Hiyo ya kuvaa suti nimekuwekea nikijua kabisa akili zako zitakosa hoja zikimbilie hapo kwa maana huna unachoweza pinga kati ya niliyosema.
Hata hivyo hujaielewa kabisa, nimesemea maendeleo ya textile manufacturing wewe unakuja na neno "maendeleo". Textile industry aliyoanzisha Atatürk imekomaa hadi sasa mnanunua bidhaa zao kama mashati, suti na vitambaa na hata viatu. Nikiamua kuanza kukosoa kila ulichosema itakuwa uzi mwingine. Nikianza na Uturuki kuanza industrial modernization miaka ya 1990s, nani alikwambia? Unaijua sera inaitwa Kemalism? Ushawahi search hata Atatürk's reforms?

Kama hoja ni kuua viongozi, unajifanya humjui Jamal Kashoggi wa Saudi Arabia aliyeuwawa na MBS? Humjui sheik Nimr al-Nimr aliyeuwawa na serikali ya Saud Arabia?
Kama hoja ni kufunga shule, hujui shule zilizokuwa chini ya Fethullah Gullen zilizofungwa au kutaifishwa na Uturuki hii ya Erdogan. Mojawapo ya shule hizo ikiwa hapa nchini?

Na situmii nguvu nyingi kama unavyodai, unless kama unapata kizunguzungu kusoma hoja zangu. Hapa natumia asilimia chache ya akili zangu na uwezo wangu wa kujadiri. Hakuna hata calculations wala numerical data hapa.
 
Umesema ilikuepo mashariki ya kati je ni nchi gani, sio mnababaisha wakati nchi yao hamuijui, mkiulizwa mashariki ya kati nchi gani mnabaki kupita huku mkitokea huku
Dah! Kweli huu ni upofu na ujinga wa kihistoria.
Kwa sababu nina muda kidogo acha nikupe darsa.
1. Israeli imekuwapo hapo mashariki ya kati kwa maelfu ya miaka. Historia inasoma hivyo na kila mwaka wana akeolojia wanachimbua mabaki ya dola ya kale ya kiyahudi.

Ukienda katika historia na akeolojia utakuta dola ya Kiyahudi na wafalme wake, lugha yao na fedha zao. Na artifact nyingi, ushahidi wa kuwepo kwao na umiliki wao.

Ukiweza kuleta ushahidi wa kuwepo dola ya wapalestina, lugha ya wapalestina, wafalme wa kipalestina au artifacts za kale zinazoonesha uwepo wa watu walioitwa wapalestina, then utakuwa sahihi. Ukweli ni kwamba hakujawahi kuwepo hilo taifa wala hao watu.

Wengi hamjui hata kuwa eneo ambalo warumi walilibadili jina toka Yudea na Samaria na kuwa Palestina lilikuwa ni makazi ya Wayahudi na warumi walifanya hivyo kuondia kumbukumbu yao kabisa kwa sababu ya hasara waliyopata kivita.

Kwa hiyo Wayahudi sio wavamizi wa ardhi ya wapalestina kwa kuwa kihistoria hakuna watu wanaoitwa wapalestina. Hawa wapalestina wa leo wana mataifa yao ya asili. Tunajua kwa mfano Yasser Arafat alikuwa ni Mmisri na Abu Mazen ni wa Jordan. Haya yako wazi kwa anayetaka kujua. Ila ukikomaa na stori za kidini, itabidi ufumbie macho historia
 
Hiyo ya kuvaa suti nimekuwekea nikijua kabisa akili zako zitakosa hoja zikimbilie hapo kwa maana huna unachoweza pinga kati ya niliyosema. Nikiamua kuanza kukosoa kila ulichosema itakuwa uzi mwingine. Nikianza na Uturuki kuanza industrial modernization miaka ya 1990s, nani alikwambia? Unaijua sera inaitwa Kemalism? Ushawahi search hata Atatürk's reforms?

Kama hoja ni kuua viongozi, unajifanya humjui Jamal Kashoggi wa Saudi Arabia aliyeuwawa na MBS? Humjui sheik Nimr al-Nimr aliyeuwawa na serikali ya Saud Arabia?
Kama hoja ni kufunga shule, hujui shule zilizokuwa chini ya Fethullah Gullen zilizofungwa au kutaifishwa na Uturuki hii ya Erdogan. Mojawapo ya shule hizo ikiwa hapa nchini?

Na situmii nguvu nyingi kama unavyodai, unless kama unapata kizunguzungu kusoma hoja zangu. Hapa natumia asilimia chache ya akili zangu na uwezo wangu wa kujadiri. Hakuna hata calculations wala numerical data hapa.
Mkuu sioni unacho ongea hapa zaidi ya pumba hapa kwani shule za fedha ni shule za kidini ? Zile ni shule kama shule zingine haziusiani na uislamu hata kidogo licha ya mmiliki wake ni mwislam .
Kwani kuna hasiye jua ya kwamba utawala wa saudia inawachukia washia na waandishi wa habari waongea ukweli?
Na ndio maana inawaandama na kuwauwa watu kama hao uliyo wataja hapo juu.
Utawala wa Saudia ulimuuwa Jamal kwa lengo la kufuta kizazi cha waandishi wa habari wakweli.
Kwa hiyo hata Atatuku alikuwa na chuki na waislamu na ndio maana alikuwa akiwauwa viongozi wa kiislamu na kufunga shule za kidini ili kufuta uislamu halisi ili kuitengeneza Uturuki anayo itaka lakini mwishowe ameambuli patupu.
Haaaa eti umeleta suala la suti ili kunipima kwani hoja hiyo nimeileta mm au wewe?
 
Soon huyu Erdogan atatolewa kwenye hiyo nafasi,litapandikizwa jitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom