Hafla Ikulu, JK akihutubia GAVI Partners - TBC1

yvonne chaka chaka amempa dongo kuwa pesa za wahisani juu ya mpango huu zitumike kama ipasavyo na sio kufichwa kwenye benk za uswis......
 
Jamaa kwa kupenda sherehe! Anazidi kumaliza pesa ambayo ingetumika kwenye kupambana na ukimwi. Wenzetu wanapambana na ukimwi kwa kupinga mmomonyoko wa maadili sisi tunatumia mmomonyoko wa maadili kama zana ya kupambana ukimwi. Tumegeuka taifa la wazinzi na walevi hasa baada ya kutawaliwa na hao hao.
 
Back
Top Bottom