Za leo wandugu,
Jamani shoga angu anatatizo na mumewe asiloweza kumuelewa vizuri nalileta kwenu mnisaidie na mawazo. Mume anakipato cha kawaida na yeye ni mother house (studying) tuu. Sasa ktk kipato hicho jamaa hushindwa sometimes to clear some of the bills na hata hela ndogo ndogo ya matumizi ya wife wake. Ila sasa utakuta huyo bwana anaamua kuwaalika wageni tena wengi kama kumi hivi kwa ajili ya mlo na kinywaji. Je, huyo bwana atakuwa na matatizo gani?