Hadithi za sungura mjanja zilivyosababisha ufisadi nchini

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
19,998
49,112
Tulipokuwa wadogo enzi zile elimu ikiitwa elimu kulikuwa na vitabu vyenye hekaya za Sungura na Fisi

Mara zote Sungura akionekana kama mnyama mjanja kuliko Fisi,mara kafanya hiki mara kafanya kile,kusema kweli zilikuwa zinainspirempaka kila mtu akataka kuwa mjanja kama sungura,sasa wengi waliosoma hadithi zile ndio wanaziapply kwenye nafasi zao kuanya ufisadi,vitendo vya Richmond,EPA Escrow,nssf ,TRA,Bandari n havina tofauti na Sungura mjanja

alidhani kuwa wataendelea kuwa wajanja milele kumbe wamekuta bosi wao nae kavisoma hivyo vitabu jinsi sungura alivyomhadaa fisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom